Young master....mkuu hizi game mimi nimecheza mpaka majina.....mimi ninapopata game huwa napenda sana kufuatilia story ili nione mwisho wake....ila katika game ambayo nimecheza caborn ina story nzuri sana....kama umecheza caborn bila shaka utakuwa unamjua vizuri mtu mmoja anaitwa DARIUS na kitu chake cha AUDI REMAN QUATRO dah mkubwa ni nouma jamaa anapiga madrif mbaya....huo mziki wa AUDI REMAN QUATRO ni nouma ndinga inatembea mbaya