Frank G, Most Wanted ipi? maana hii ya 2012 pumba tupu. ya zamani ndo ilikuwa game. mi nakubaliana na Young Master kuhusu hii Rivals. tena siku hizi hamna racing games za maana. (labda Forza, lakini nyie hamna Xbox kama mimi :heh🙂
A man who calls himself a King, Is No True King
kwa mimi nilivoona world na most wanted hazijapishana sana,ngoja tusubirie rivals tuone itakujajeMimi nimeishaicheza hii need for speed world ila sikuipenda kabisa.
kwa mimi nilivoona world na most wanted hazijapishana sana,ngoja tusubirie rivals tuone itakujaje
What if he called hiself "A Slave Man".....! Wivu tu, Let himself call whatever he likes but we common people will judge him according to his Action if he deserve that kind of title!
mie sijacheeza yote ila nimecheza most wanted 2012 nimelifurahia, ila daaah ningekuwa naendesha kiukweli ukweli labda ningeendesha vizuri kuliko kwenye gameKuna tofauti kubwa sana kati ya need for speed most wanted na need for soeed world mkuu.
Nimecheza NFS za kutosha ila Most Wanted 2005 ni balaa yaani, nilicheza nilipofika final race nika disable AutoSave ili niwe narudia Final chase, hua na shika final Chase najipima kama bado naweza miliki ile BMWFrank G, Most Wanted ipi? maana hii ya 2012 pumba tupu. ya zamani ndo ilikuwa game. mi nakubaliana na Young Master kuhusu hii Rivals. tena siku hizi hamna racing games za maana. (labda Forza, lakini nyie hamna Xbox kama mimi :heh🙂
mie sijacheeza yote ila nimecheza most wanted 2012 nimelifurahia, ila daaah ningekuwa naendesha kiukweli ukweli labda ningeendesha vizuri kuliko kwenye game
Nimecheza NFS za kutosha ila Most Wanted 2005 ni balaa yaani, nilicheza nilipofika final race nika disable AutoSave ili niwe narudia Final chase, hua na shika final Chase najipima kama bado naweza miliki ile BMW
MW ya 2005 ndo the best ever NFS. labda wtoe nyingine mpya. na Burnout Revenge ndo ilikuwa the best racing game ever. zamani ndo walijua kutengeneza racing games. siku hizi mambo graphics tu
kama ningekuwa mm ndio developer hii NFS MW ya 2012 ningeboresha graphics na cars..ila story ningeiacha the same.
yani bongo kungekuwa na mchezo wa racing kama formula1 au zile za kwenye muvi za fast n furious, lazima ningetafuta njia nijiunge, napenda kuendesha gari mbio kama maiko shumakaWapi wewe kama usingeishia kugonga gonga tu. Manual yenyewe inakutoa jasho ndo utaziweza hizo zenye dual clutch transmission?
yani bongo kungekuwa na mchezo wa racing kama formula1 au zile za kwenye muvi za fast n furious, lazima ningetafuta njia nijiunge, napenda kuendesha gari mbio kama maiko shumaka
yani bongo kungekuwa na mchezo wa racing kama formula1 au zile za kwenye muvi za fast n furious, lazima ningetafuta njia nijiunge, napenda kuendesha gari mbio kama maiko shumaka
ila piga ua nitanunua ile mipikipiki mikubwa niwe naondoka nalo masafanNi mwenye hela za kuchezea za kununua fast cars kama Nissan GTR, Audi R8 n.k?