NECTA yatangaza upya Matokeo ya Kidato cha Nne 2012

Hasa sisi tuliopata div 4 awali sasa ndo tunatega macho angalau tunaweza kuambulia div 3
 
Wadau ni kweli matokeo leo yatatoka,halina ubishi,mjadala ushafanyika kwa muda sasa kati ya necta na mtoto wa mkulima,necta na wizara ya mulugo n siku imewadia,tuwe na subira
 
Ukweli ni kwamba matokeo ya kidato cha nne yako hadharani yanatangangazwa mchana huu wizarani rafikiangu mwandishi wa gazeti la mwananchi amenipa hiyo tipu kwamba wameitwa kupewa hayo. Na habari alizopata ambazo bado si za uhakika ya kidato cha sita nayo ni leoleo au kesho mapema ila Waziri ameombwa asitangaze ya kidato cha sita bali baraza la mitihani lenyewe.
 
Watoto wadogo utawajua tu kuna document zinahitaji signature ya kamishna mmoja pale wizarani,munamjua yuko wapi?
 
Back
Top Bottom