josephwaara
JF-Expert Member
- Jun 18, 2016
- 304
- 641
Hii ni kwa ajili ya walimu tu, tena wenye akili timamu.Kwa kuwa hukuweka ushahidi basi nakupa mji ama usubiri sana NECTA waje kukujibu!
Unahisi jibu lako hili linathibitisha utimamu wako na ualimu wako? Nilihisi hata asiyekuwa na utimamu wa akili hapa angedurufu mitihani husika na miaka husika hapa ili ijadiliwe kwa hoja. Pole sana kwa kudhani upo timamu.Hii ni kwa ajili ya walimu tu, tena wenye akili timamu.
Kwani mitihani iliyokwisha kufanyika ni siri??
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Soma majibu yako bila shaka utaona sentensi iliyokwaza.Unahisi jibu lako hili linathibitisha utimamu wako na ualimu wako? Nilihisi hata asiyekuwa na utimamu wa akili hapa angedurufu mitihani husika na miaka husika hapa ili ijadiliwe kwa hoja. Pole sana kwa kudhani upo timamu.
Tatizo jf siku hizi mmejaa watoto wengi.Na bado ukapata 0 ?
Kushindwa kusimamia hoja kusikufanye uhisi upo na watoto yumkini wewe ndiye mtoto.. ukipata challenge usipaniki, huo unaitwa ukomavu.
Sasa hoja gani nasimamia hapa? Pepa zimejaa mtandaoni kwani ni siri kwamba nadanganya? Sasa mtu kakoment "na bado nkapata 0", huyu unamweka kwenye kundi la watu wazima??Kushindwa kusimamia hoja kusikufanye uhisi upo na watoto yumkini wewe ndiye mtoto.. ukipata challenge usipaniki, huo unaitwa ukomavu.
Bila shaka utakua mwalimu wa kiswahili na civics.Upimaji wa kielimu ni taaluma pana sana,utakuwa huna ujuzi wa maswala ya upimaji ndio maana unapata tabu.
Kuna kitu kinaitwa "test retest",ni somo pana sana,huenda si size yako.
Ujuaji mwingine buana[emoji1787][emoji28] Test Retest kwa watahiniwa tofauti??? Tumia akili mkuu hapa unajadili na mfizikia mkuu[emoji1]Upimaji wa kielimu ni taaluma pana sana,utakuwa huna ujuzi wa maswala ya upimaji ndio maana unapata tabu.
Kuna kitu kinaitwa "test retest",ni somo pana sana,huenda si size yako.