R.B
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 6,296
- 2,575
Mwenye cheti kaishia Form 4 ; Niliyetumia jina LAKE LA CHETI : nimefika chuo kikuu ni Best student. JPM Nisaidie
Mimi muathirika cheti cha majina yaliyogongana; Nilimuomba mwenzangu kuombea kazi; Lakini cheti chake nimekitendea haki kuanzia kurisit , form six mpaka chuo kikuu na nina GPA 4.6.
Ushahidi wangu
1. wanafunzi nilisoma nao form six na walimu na monitor wote wananifahamu
2. wanafunzi niliosoma nao chuo kikuu na malecture wote wapo na wanaipenda sana.
3. Utendaji kazi wangu mzuri;
4. Kada za kazi haziendani Afisa kilimo na Degree ya Public Administration
Niliomba kubadili jina NECTA wamegoma kubadili ili nitumie Jina halisi; nimepeleka picha ya Form Six na taarifa za form six za picha , nimepeleka picha za chuo kikuu
NECTA ni jipu hawataki kubadilisha majina katika vyeti ingawa ushahidi wa kukana jina ninao toka mahakamani .
Hii imenifanya jina langu litokee majina mawili. Ingawa nilieomba cheti yeye elimu yake ni afisa kilimo. Mimi nina Degree ya public administratio Mzumbe.