URGENT PLS!! Wadau nisaidieni. Nimejaribu siku nzima kufanya usajili wa kijana wangu kupitia web ya NECTA bila mafanikio. Jamani nitumie njia gani li web hili ilfanye kazi???
2mia m-pesa
Nashukuru. lakini acha mode of payment. Ni kwamba hai-upload picha na kwenda beyond. baadhi ya watu nimewauliza nao wanapata same problem leo siku nzima ya leo
Mkuu, wiki iliyopita nilikumbana na tatizo kama la kwako, ila nilifanikiwa baada ya kugundua kwa simbanet wanamatatizo ya ku-upload, hivyo nilikwenda cafe na kufanikiwa... Nakushauri jaribu kutumia mtandao tofauti na unaotumia sasa.
Pia mwanangu amekuja,mambo ya ajabu toka shuleni kwao kuhusiana na uandikishwaji wa necta, unaweza kucheck thread yangu kwenye jukwaa la hoja mchanganyiko, (huu ni ufisadi unao fanya makongo)