NECTA mnawaonea watoto

Nunua magazeti ya leo( Nipashe). Hiyo unayosema ni ya A-Level. Ya Ordinary level bado km uliyoandika around 20.
 
Hata sie tuliosoma enzi za mawaziri Israel Elinawinga, Tabitha Siwale na Simon Chiwanga hatukuwahi kuona F ya 0 -19. Tabutupu tutajie huo mwaka.
 
Hivi jamani mimi nimepata IV ya 27 nna C mbili, D nne na F ya math.. kuna possibility ya kwenda form 5 hata ya private? Ama la haiwezekani kuna uwezekano wa kwenda hata chuo cha ualimu? naombeni msaada wenu wataalamu.
Unaweza kwenda Form V ya private lakini lazima wakati ukisoma utafute C nyingine moja ili uwe na credit 3 itakayokupa sifa ya kufanya mtihani wa form six.
Kuhusu kwenda chuo cha ualimu haiwezekani.
 
huwezi kujiunga na advance gadi uwe na c3...chuo cha walimu unaweza kwenda ....kama pia ni masomo ya sayansi jaribu kuomba udom special diploma
Hatutaki waalimu waliofeli na kukimbilia huku wakidhani ndo eneo la kujificha bongolala.
Km ww umefeli utawafundisha kitu gani wanafunz wanaotarajia kufaulu
 
Hivi jamani mimi nimepata IV ya 27 nna C mbili, D nne na F ya math.. kuna possibility ya kwenda form 5 hata ya private? Ama la haiwezekani kuna uwezekano wa kwenda hata chuo cha ualimu? naombeni msaada wenu wataalamu.
Rudia shule kilaza inakuwa vipi kwenye masomo tisa unashindwa kupata angalau "C" tatu kwanza ambao wanaunganisha sijui vyeti viwili ndio kwenda A level anaona bado vilaza ata CV zao wakibahatika angalau kupata Three A level zinakuwa hazipo stable.Kupata Div One na Div Four ni rahisi kuliko kupata Div Two.ukiwa na misingi mizuri kupata kijiti O level na A level ni rahisi sana
 
Chuo certificate....
Mdogomdogo had degree

Hapo ndio tunazalisha degree za vichochoroni waende kusoma ushonaji au mechanics veta mbona mnataka tuleeee matatizo huko mbele
 
Hapo ndio tunazalisha degree za vichochoroni waende kusoma ushonaji au mechanics veta mbona mnataka tuleeee matatizo huko mbele
Acha fix ww......
Leta qualification za mtu kusomea certificate au diploma...km hujui usilete porojo hii sio thread ya kufanyia masihara watu tupo setious
 
Acha fix ww......
Leta qualification za mtu kusomea certificate au diploma...km hujui usilete porojo hii sio thread ya kufanyia masihara watu tupo setious

Kwahiyo mkuu una Div Four ya 27 halafu unaanza Certificate baadae diploma ndio unakuja Degree Hivi hiyo Cv ya huyo kiumbe inaweza kuwa sawa na smart boy ambae amesoma direct bila bila kuzunguka kote huko.tatizo madogo hawasomi siku hizi
 
Tena kwa taarifa yako aliyetoka A level ukimkutanisha na wa diploma wakiwa degree ...wa diploma huwa wakali na wapo vizuri.....acha kuwavunja watu moyo kumbuka kufika degree kuna njia 3
1/direct entry(A level)
2/wa diploma
3/Mature age entry
Wote wana vigezo....
 
Nani amekwambia alietoka diploma anaweza kumburuza ambae ametoka shule moja kwa moja.sio kuvunjana moyo taifa linahitaji na watu waliopita veta kwahiyo unataka mwenye sifa za kuendelea aende veta ambae sifa hana akale bata chuoni kwa kupitia mlango wa uani sio
 
Mkuu kumwita mtu kilaza sioni kama imekaa poa,binafsi sijawahi kufail since O-level ila nnachojua kuna sababu nyingi sana za mwanafunzi kufeli,kuna rafiki yangu tulikuwa study mates alipata DIV II close to I ya mock ila National akaharibu baada ya kupata stress katika week ya exam.
 
..................
***********
 
Mkuu watoto wa siku hizi wanashinda facebook na instagram unafikiri watosoma saa ngapi muda wote wapo whatsapp
 
Tatizo serikali imefuta technicians level. kwa fani za ufundi umepo sahihi kabisa. wale jamaa wa FTC walikua wanatisha
 
Hivi jamani mimi nimepata IV ya 27 nna C mbili, D nne na F ya math.. kuna possibility ya kwenda form 5 hata ya private? Ama la haiwezekani kuna uwezekano wa kwenda hata chuo cha ualimu? naombeni msaada wenu wataalamu.
ualimu unaenda ila sio form 5
 
Mkuu watoto wa siku hizi wanashinda facebook na instagram unafikiri watosoma saa ngapi muda wote wapo whatsapp
Upo sahihi kabisa most of them wanafeli kwa upumbavu na tamaa za kuiga vitu kabla ya muda wao na hawasomi wala kujituma kutafuta materials ila wapo baadhi wanafail kwasababu zisizo za uzembe kama huyo mshkaji nliyekutolea mfano.
 
Nimekuelewa mkuu hila kinachonishangaza madogo siku hizi wanakwambia shule rahisi nikipata Four naenda CBE nasoma Certificate then Diploma baadae Degree hawataki kusoma kabisa kuna aja kuvuta hizo njia za uchochoroni
 
Kweli kabisa mkuu,kuna hilo la madogo kufeli O-level haswa na pia kuna hili la vyuo kuota kama uyoga mfano SAUT yenye vicollege kila mkoa...Binafsi naona kama inadumaza ile seriousness ya elimu ya juu kwa ujumla. Kwa mtindo huu baada ya miaka kadhaa ijayo sijui tutakuwa na nchi ya namna gani.

Jiulize tu pia hawa watoto wanavyofeli hivi wataenda wapi baadaye,mfano mwaka huu tena matokeo ni mabaya kuliko mwaka jana,next year utasikia tena hivyo hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…