NECTA mnafeli wapi?

NECTA mnafeli wapi?

Hahahaha, waiba mtihani mmeshikwa pabaya....Dokta Athumani amejua kuwakaba.
Mleta mada upuuzwe, Dk anachapa Kazi hasa, hataki janjajanja, mnacorrupt wasimamizi wawaonyeshe mitihani na kuwapa watoto majibu, halafu mnakuja kujitapa shule zenu zinaongoza.

Wahusika popote mlipo, Dk athibitishwe, Kwa hili sebene alilowachezesha kwenye hii mitihani Dk anatufaa, tena ikiwapendeza apewe na Uwaziri kabisa.
Nakuunga mkono
 
Kwani mitihani inaibwa na watoto?au watu wazima (walimu/wenye shule)ndio huwapelekea hayo majibu ya mitihani (wizi).
Wanaotakiwa kuadhibiwa ni wezi wa mitihani ambao kimsingi sio watoto kwa sababu wao hawajui hata inapohifadhiwa hiyo mitihani.
Alitaka Dr. Amasi akasimamie?
Kazi yake ni kudhibiti isivuje na haikuvuja bali wasimamizi wamemmsaliti na wakuu wa shule
 
Sheria ya ushahidi (The Law of Evidence) inamtambua mkamatwa na ngozi ndiye mwizi.

Wenye namba za mtihani siyo Walimu na wamiliki-shule bali ni watoto.

Scripts zilizosahihishwa ambazo ndizo udanganyifu ulibainiwa ni za watoto siyo za Walimu wala wamiliki-shule.
 
Alitaka Dr. Amasi akasimamie?
Kazi yake ni kudhibiti isivuje na haikuvuja bali wasimamizi wamemmsaliti na wakuu wa shule
Viongozi wanawajibika kwa makosa ya watendaji wao, hii ni mila na desturi ya dunia nzima.

Ndalichako aliwajibika (ki-staha, kwa kupelekwa Sabbatical leave) kufuatia watahiniwa kufeli somo la Islamic Knowledge.
 
Kabla ya Athumani kuwa Kaimu KM leo, enzi za awamu ya 5 tulisahau wizi na udanganyifu kwenye mitihani. Athumani alikuwepo ndani ya mfumo huo makini km mtumishi mwandamizi hivyo alijuwa mfumo ulivyoziba mianya ya wizi, iweje leo ana mamlaka makuu (hata km anakaimu) ashindwe kutumia mfumo ule ule uliotumika kuziba mianya ya udanganyifu? Akiri tu kuna sehemu amepwaya.

Au tunataka kujaza majengo ya madarasa tuliyoongeza kwa kuwapa wadanganyifu second chance?

Vyeti feki wamelipwa mafao manono (sijui na wengine wamerejeshwa!?) Wadanganyifu wa mitihani nao wanapewa fursa ya pili!? Madhali wadanganyifu wanajulikana kwanini wasipandishwe kortini ili iwe fundisho? Vinginevyo tufute mitihani ya shule tubakishe ile ya vyuo
Wizi ulikuwepo sema walikua wanaficha shule kibao zilifungiwa kimya kimya kaka,nampongeza mnoo wa Sasa kusanua live
Walimu wa private waache janjajanja

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mwaka huu private mmeshikwa pabaya sanaa poleni
Acheni janja janja za kuiba mitihani vishule bongo vya private bure kabisaaa,Mwaka huu tumeshuhudia hakuna A za mchongo mchongo,wakuu wa shule za private Mwaka huu hawatasahau kilichowakuta

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Sheria ya ushahidi (The Law of Evidence) inamtambua mkamatwa na ngozi ndiye mwizi.

Wenye namba za mtihani siyo Walimu na wamiliki-shule bali ni watoto.

Scripts zilizosahihishwa ambazo ndizo udanganyifu ulibainiwa ni za watoto siyo za Walimu wala wamiliki-shule.
Huna akili
 
Mwaka huu private mmeshikwa pabaya sanaa poleni
Acheni janja janja za kuiba mitihani vishule bongo vya private bure kabisaaa,Mwaka huu tumeshuhudia hakuna A za mchongo mchongo,wakuu wa shule za private Mwaka huu hawatasahau kilichowakuta

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
🤣🤣🤣 Kwa jinsi alivyowakaba mwaka huu hawatamsahau....wajikaze wafundishe tu 🤣
 
Ndalichako kapanda ngazi za juu kurudi NECTA ni kumfanyia demoshen, aliweza kudhibiti uvujaji wa mitihani pamoja na udhibiti wa vyeti feki
 
Kwa jinsi alivyowakaba mwaka huu hawatamsahau....wajikaze wafundishe tu
Tena wafundishe hasaaa na wawalipe walimu salaries zao,wameloweshwa na Maji ya barafu na wamepoa hao balaaa....
Na mwaka huu hakuna shule ya kwanza Wala ya mwisho maana zinakuaga za michongo tu ya wizi wa mitihani..
Yaani necta ishikilie hapo hapooo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ndalichako kapanda ngazi za juu kurudi NECTA ni kumfanyia demoshen, aliweza kudhibiti uvujaji wa mitihani pamoja na udhibiti wa vyeti feki
Sio kwelii hakuna kiongozi alidhibiti kuvuja mitihani Tena enzi zao ndo vilizidi ,nimefanya necta zotee kipindi ndalichako ndo katibu na Pepa zilivuja haswaaaa....

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mtihani wa darasa la saba una effect gani hata ukivuja wote? Kama tu wa form four hauna maana inakuaje wa la saba? Wanafunzi wanahitimu form six hawana uwezo wa ku analyse na ku synthesize mambo waliyofundishwa. Mitihani ya ngazi za chini za elimu imekuwa haina impact kwa wahitimu wake
 
Hyou kale
Hahkaletwa kwa sababu ya Zanzibara, waiba mtihani mmeshikwa pabaya....Dokta Athumani amejua kuwakaba.
Mleta mada upuuzwe, Dk anachapa Kazi hasa, hataki janjajanja, mnacorrupt wasimamizi wawaonyeshe mitihani na kuwapa watoto majibu, halafu mnakuja kujitapa shule zenu zinaongoza.

Wahusika popote mlipo, Dk athibitishwe, Kwa hili sebene alilowachezesha kwenye hii mitihani Dk anatufaa, tena ikiwapendeza apewe na Uwaziri kabisa.
Huyu kaletwa kwa sababu ya Zanzibar

Tusubiri form four result

Mama hataki kusikia shule za kojani zimeshika mkiaaa
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hyou kale

Huyu kaletwa kwa sababu ya Zanzibar

Tusubiri form four result

Mama hataki kusikia shule za kojani zimeshika mkiaaa
BMZ (Baraza la Mitihani Zanzibar) zamani ZEC (Zanzibar Examinations Council) siyo nyumbandogo ya NECTA.

BMZ ina mamlaka kamili kuratibu Mitihani Znz.

NECTA siyo taasisi ya Ki-muungano.
 
Kwa jinsi alivyowakaba mwaka huu hawatamsahau....wajikaze wafundishe tu
URT mafanikio ya sekta ya elimu yanatengenezwa na shule binafsi. Ukiondoa shule binafsi sekta inakufa km ambavyo sekta ya afya itakufa km yafuatayo yakitokea 100%:-

1. Wakatoliki wakichukuwa hospitali za Bugando, St. Benedict Ndanda Hospital, St. Francis Referral Hospital Ifakara, Huruma Teule, Dareda Mission Hospital.

2. Wamennonite wakichukuwa hospitali ya rufaa ya Shirati.

3. Wa-AICT wakichukuwa hospitali ya Kolandoto.

4. Wamoravian wakichukuwa hospitali teule za Isoko na Mbozi.

5. KKKT wakichukuwa KCMC, Bunda Teule, Nyakahanga Teule, Haydom Hospital.

6. DCMC Trust wakichukuwa DCMC Dodoma.

7. Waanglikana wakichukuwa Mvumi Mission Hospital Dodoma na Muhimbili.

8. Waadventista wa Sabato wakichukuwa Heri Adventist Hospital HAH Sumbawanga na Nyarero SDA Hospital.

Vyuo vikuu vya umma viko 9, vya binafsi viko takriban 11.

Shule binafsi syllabus ya F4 inaisha F3. Shule gani ya umma hata za umahiri (vipaji maalum) wanamaliza mada za F4 wakiwa F3?

Elimu URT ni sekta binafsi. Habari ndiyo hiyo.
 
Mtihani wa darasa la saba una effect gani hata ukivuja wote? Kama tu wa form four hauna maana inakuaje wa la saba? Wanafunzi wanahitimu form six hawana uwezo wa ku analyse na ku synthesize mambo waliyofundishwa. Mitihani ya ngazi za chini za elimu imekuwa haina impact kwa wahitimu wake
Umeona eee... nchi ya 256 wameisha achana nayo. Benki ya Dunia wakishirikiana na UNICEF na UNESCO waliendesha mradi wa majaribio wa kuondoa mitihani shule za msingi na sekondari ya kawaida (upili) kwenye hiyo nchi ya 256 wamefanikiwa.

Japan elimu ni bure na lazima kuanzia awali hadi sekondari za chini. Hakuna shule binafsi kwenye ngazi hizo ila zinakuwepo kuanzia ngazi ya sekondari za juu.

Ada iko shule za binafsi tu na kwa mwaka mwanafunzi analipa ada ya JPY 2,000,000 sawa na USD 18,000 (TZS.43,200,000) bila mahitaji mengine (ada tu).
 
Udanganyifu kwy mitihani ya darasa la saba 2022 unampunguzia sifa kaimu Katibu Mtendaji wa NECTA Athumani Amasi; za kuthibitishwa kwenye nafasi hiyo adhimu na kuibua matamanio ya enzi za Katibu Mtendaji wa zamani wa taasisi hiyo Dr. Charles Enoch Msonde aliyehamishiwa Ofisi ya Rais TAMISEMI kwenye wadhifa wa Naibu Katibu Mkuu.

Jitihada za Dr. Msonde zilipewa msukumo na nguvu ya Mhe. Prof. Joyce Ndichako aliyeapa na kufanikiwa kuishi kwenye kiapo chake hicho cha mitihani kutovuja au udanganyifu kutofanyika kwa muda wote wa utumishi wake wizara ya elimu.

Kwa litmus test hii ya kwanza kabisa kwa Athumani Amasi; ya udanganyifu kwenye mitihani ya taifa ya darasa la saba, ni wazi kabisa kwamba ama mmoja wa wafuatao arudishwe kwenye nafasi zao za awali au nchi iendelee kunasa kwenye uozo:

1. Dkt. Charles Enoch Msendo

2. Prof. Joyce Ndalichako

Tatizo langu kubwa kuhusu wizi wa mitihani ni adhabu wanayopewa wanafunzi wa shule iliyoiba mitihani! Kuna wengine hawakuhusika na hayo mambo lkn adhabu inapita kwa wote! NECTA wangeweza kuchambua na kuhoji ili wataopatikana na kashfa hiyo wachukuliwe hatua!
Na adhabu kali itolewe pamoja na kufuta usajili wa shule! Sio kufungia kufanya mitihani. Faini na kifungo kwa wahusika wote!

Kama kweli hakuna manufaa kwa walio na mamlaka za juu kuhusu mitihani, wekeni funzo!
 
Back
Top Bottom