Bushmaster
JF-Expert Member
- Jan 18, 2022
- 480
- 974
Moja kwa moja mada.
Hivi karibuni tumeshuhudia unyanyasaji mkubwa and unprofessional kabisa kwa walimu kupitia NECTA.
Kwanza kabisa NECTA na walimu ni idara mbili tofauti kabisa, NECTA husimamia natioanl assessment na walimu ni watekelezaji wa teaching and learning process,kwa Tanzania anaefundisha sie anaetunga mitihani
Katika masuala ya usahihishaji, NECTA huchukua walimu kutoka sehemu tofauti tofauti bara na visiwani, mfano mwalimu anawezatoka mtwara akaenda kumark Mwanza, siku ambayo atafika hua kuna seminar, baada ya hapo walimu hupewa muda wa kwenda kucover mahitaji yao madogo madogo mafuta n.k ili zoezi likianza asiwepo wa kutoka, walimu wanapewa muda na kuondoka kwenye vitua vya marking.
Iikitokea umechelewa kurudi walau kwa dk 15 huruhusiwi kuingia kwenye center hiyo na unaambiwa uondoke urudi ulikotoka,assume huyu mwalimu ametoka Mtwara yupo Mwanza unaambiwa uondoke muda huo wa 12 jioni uende wapi? Na hata hela aliosafiria kutoka Mtwara hapewi na utaratibu inatakiwa arudushiwe nauli na nights alizolala,huo ni unyanyasaji vitendo hivi vimefanyika ktk center nyingi sana mwaka huu,na nitazitaja hapa
Suala jingine, mwaka huu mitihani ya kidato cha pili na nne imesahihishwa pamoja suala ambalo halijawahi kutokea, sio tu zoezi linaathiri afya za markers kwa kufanya zoezi lifanyike kwa muda mrefu hali iliopelekea baadhi ya walimu kuparalyse mwili sababu ya kukukaa muda mrefu na uti wa mgongo kuuma, lakini pia markers wanaloose concentration kitu kinachopelekea matokeo yasipate uhalisia wake.
Lakini NECTA walicombine mitihani ili wawanyonye walimu kimaslahi, ikumbukwe mitihani huwa inalipiwa na wanafunzi lakin pia wanapokea ruzuku ya uendeshaji wa mitihani hii, licha ya zoezi la marking kufanywa kwa wakati mmoja ya mitihani ya kidato cha pili na nne kua marked pamoja na markers wale wale lakini maslai yalikua duni mno, huku karatasi moja likimakiwa kwa tsh 10. huku center nyingine ikiwa tsh 50, kigezo walichotumia eti baadhi ya masomo kua walimu wengi kwahyo kulipwa kidgo na masomo yaliyo na walimu wachache kulipwa zaidi, bado hii sababu ni illogical kabisa.
MAPENDEKEZO
NECTA isiwatumie vibaya walimu,nashauri kazi hii isifanywe na walimu pekee,itoe utaratibu ili watu mbalimbali waombe kufanya kazi hiyo, wataofanikiwa wapewe seminar za jinsi ya kusahihisha na kazi hii ipewe hadhi ya kua kazi kama kazi nyingine na mikataba ya kazi hii pia itolewe kwa majibu wa sheria either mikataba ya muda mfupi au mrefu.
Kwa kufanya ivyo itaondoka dhuluma,wanayodhulumiwa walimu