NEC Yatangaza Majimbo 26 mapya ya Uchaguzi

NEC Yatangaza Majimbo 26 mapya ya Uchaguzi

Mafinga haiko Njombe au ndio ile ile mambo ya akina Mlugo? Muungano wa Tanzania na Visiwa vya Zimbabwe!
 
Nilitegemea jimbo la Kigoma Kusini kugawanywa!!! Ni nini kigezo kimetumika kutoligawa jimbo hili kubwa na lenye changamoto kubwa ya kijiografia na kubwa sana kieneo?? Kafulila anajua kuna sehem tangu achaguliwe hajafika au kakanyaga mara moja!!


Sasa kama aliweza kuzunguka jimbo zima ndani ya miezi miwili ya kampeni mwaka 2010 kwanini ashindwe kufanya hivyo katika kipindi cha miaka 5?kama hajafika kweli wana haki ya kumtosa,hakuna sababu ya kujitetea hapo.
 
Bado wakipunguza idadi ya wabunge wa vitu maalum kuna nafasi ya kuongeza majimbo through shifting badala kuongeza idadi ya namba za wabunge.

Kwanza namna hiyo ya kutoa majimbo mapya itaongeza more accountable MP's to their constituents kuliko wabunge wa viti maalum.
 
Majimbo20 yalio anzishwa kwa mujibu wa Halmashauri mpya,Majimbo yalio anzishwa kwa kigezo cha Ongezeko la Halmashauri.

1.Handeni mjini
2.Nanyamba
3.Makambako
4.Tarime mjini
5.Bunda mjini
6.Butiama
7.Kavuu
8.Geita mjini
9.Kahama mjini
10.Ushetu
11.Nzega mjini
12.Kondoa mjini
13.Newala mjini
14.Mbulu mjini
15.Ndanda mjini
16.Madaba mjini
17.Mbinga mjini

Majimbo yalioanzishwa kwa kigezo cha idadi ya watu ni majimbo 6..

1.Mbagala-Dar es salaam
2.Kimbaa-Dar es salaam
3.Vwawa-Mbeya
4.Manonga-Tabora
5.Mlimba-Morogoro
6.Ulyankulu-Tabora
 
Nimesoma muda mfupi uliopita kwenye page ya facebook ya gazeti la mwananchi,nec imetangaza majimbo mapya 26. Dar imeongezewa majimbo 2,mbagala na kibamba.

Nimekuja huku nipate taarifa kamili sijaiona,naomba mwenye taarifa kamili atujuze.
 
Tume ya Uchaguzi imetangaza list ya majimbo mapya ya Uchaguzi.

Soma Picha hapa
attachment.php

attachment.php

attachment.php

Jimbo la mafinga mjini lipo mkoa wa njombe!!?
 
Hivi kwa nini serikali inashindwa kutoa taarifa kamilifu?. Kama wameamua kutujulisha juu ya kuunda wilaya mpya na majimbo mapya kwanini wasitueleze wananchi juu ya mipaka yake?. Kata zipi zinaenda wapi na zipi zinabaki wapi?

Mh. Mnyika tafadhali saidia wapiga kura wako wa iliyokuwa ubungo wapate elimu juu ya mabadiliko haya..
 
Ili kuweza kuamua ni majimbo mangapi yaongezwe, Tume ilizingatia Vigezo muhimu vitatu:
1. Wastani wa Idadi ya Watu (Population Quota).
2. Mipaka ya Kiutawala.
3. Uwezo wa ukumbi wa Bunge.

4. Gharama za uendeshaji wa bunge letu?
 
Yote ya ccm hayo kwani ndyo mikakati yao ya ushindi.. Badala ya kupunguza matumizi yanaongeza ccm kweli wamechoka...
 
Duh huu upuuzi mwingine sijui kwa faida ya nani tena ? by numbers majimbo 26 *10m(mshahara)*12(miezi)*5years is almost 20 bilion kulipa mishahara tuu,ongeza marupurupu,overtime,landcruisers,gharama za kuwachagua,retirement package ya 200m,ufisadi watakaotufanya etc hapo tutaongelea zaidi ya bilioni 100 after 5 yrs,hivi kweli wabunge zaidi ya 300 hawatoshi? umaskini mwingine ni kujitakia tuu.
 
Back
Top Bottom