NEC Yatangaza Majimbo 26 mapya ya Uchaguzi

NEC Yatangaza Majimbo 26 mapya ya Uchaguzi

Standalone

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2014
Posts
676
Reaction score
576
Kwa mujibu wa Ibara ya 75(4) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano waTanzania ya mwaka 1977, Tume ya Taifa ya Uchaguzi ina jukumu lakuchunguza mgawanyo wa Jamhuri ya Muungano katika Majimbo yaUchaguzi;
Tume inaweza kutekeleza jukumu hilo mara kwa mara auangalau kila baada ya miaka kumi.

Yafuatayo ndio majimbo mapya....Umaweza kupakua taarifa nzima kwenye kiambatanisho

MAJIMBO YALIYOANZISHWA KWA KIGEZO CHA ONGEZEKO LA
HALMASHAURI


Majimbo 20 yanayoanzishwa kutokana na kuanzishwa kwa
Halmashauri mpya ni:

1. Handeni Mjini

2. Nanyamba

3. Makambako

4. Butiama

5. Tarime Mjini

6. Tunduma

7. Nsimbo

8. Kavuu

9. Geita Mjini

10. Mafinga Mjini

11. Kahama Mjini

12. Ushetu

13. Nzega Mjini

14. Kondoa Mjini

15. Newala Mjini

16. Mbulu Mjini

17. Bunda Mjini

18. Ndanda

19. Madaba

20 Mbinga Mjini

MAJIMBO YALIYOANZISHWA KWA KIGEZO CHA IDADI YA WATU

Majimbo 6 yanayoanzishwa kutokana na idadi ya watu ni:

1. Mbagala – Dar es salaam

2. kibamba – Dar es salaam

3. Vwawa – Mbeya

4. Manonga - Tabora

5. Mlimba - Morogoro

6. Ulyankulu - Tabora
 
Ccm imechoka.hizi gharama za nini.kwa faida ya nan?
 
Tulinganishe Nchi yetu na Marekani ktk Idadi ya Majimbo kwa Ukubwa na Uwakilishi... Niungane na Mjumbe hapo Juu Ni Kutuongezea gharama Walalahoi. Kwa nini Kutafutiana Majimbo kwa Mtizamo wa Political gain rather than Making decision based on ecomomical gain perspectives.
 
Tume ya Uchaguzi imetangaza list ya majimbo mapya ya Uchaguzi.

Soma Picha hapa
attachment.php

attachment.php

attachment.php
 

Attachments

  • 1436790366863.jpg
    1436790366863.jpg
    15 KB · Views: 11,127
  • 1436790381668.jpg
    1436790381668.jpg
    21.5 KB · Views: 11,120
  • 1436790394076.jpg
    1436790394076.jpg
    21.6 KB · Views: 11,189
Kwa mujibu wa Ibara ya 75(4) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano waTanzania ya mwaka 1977, Tume ya Taifa ya Uchaguzi ina jukumu lakuchunguza mgawanyo wa Jamhuri ya Muungano katika Majimbo yaUchaguzi; Tume inaweza kutekeleza jukumu hilo mara kwa mara auangalau kila baada ya miaka kumi.

Majimbo yaliyoanzishwa kwa kigezo cha ongezeko la Halmashauri, Majimbo 20 yanayoanzishwa kutokana na kuanzishwa kwa
Halmashauri mpya ni;

1. Handeni Mjini
2. Nanyamba
3. Makambako
4. Butiama
5. Tarime Mjini
6. Tunduma
7. Nsimbo
8. Kavuu
9. Geita Mjini
10. Mafinga Mjini
11. Kahama Mjini
12. Ushetu
13. Nzega Mjini
14. Kondoa Mjini
15. Newala Mjini
16. Mbulu Mjini
17. Bunda Mjini
18. Ndanda
19. Madaba
20 Mbinga Mjini

Majimbo yaliyoanzishwa kwa kigezo cha idadi ya watu ni majimbo 6;

1. Mbagala – Dar es salaam
2. kibamba – Dar es salaam
3. Vwawa – Mbeya
4. Manonga - Tabora
5. Mlimba - Morogoro
6. Ulyankulu - Tabora
 
kabla sijapitia yoye naomba kujua kama yameongezeka au yamepungua (kulingana na idadi ya majimbo ya awali) ndipo nitapata la kusema
 
Kweli mwafika ki-evolution yuko nyuma ya races nyingine. Na ukiwa-group waafrika nadhani watanzania tutakuwa mwisho. Hali ilivyo mbaya kwenye wodi za wazazi kwenye hospital zetu wao wanaona kuongeza ''majimbo ya ufisadi'' ndio muhimu?
Huu ni ushetani na uendawazimu vimechang'anyika! Hawana macho ya kuona? Hawana mioyo ya kuhisi? Du nimechoka kabisa

IMG_9333.JPG


WODI+YA+WAZAZI.jpg
 
Nilitegemea jimbo la Kigoma Kusini kugawanywa!!! Ni nini kigezo kimetumika kutoligawa jimbo hili kubwa na lenye changamoto kubwa ya kijiografia na kubwa sana kieneo?? Kafulila anajua kuna sehem tangu achaguliwe hajafika au kakanyaga mara moja!!
 
Nilisikia kuwa dodoma mjini la zamani limegawanywa kuwa dodoma mjini na dodoma mashariki kwa kigezo cha idadi ya watu.Kumbe zilikuwa porojo?
 
Back
Top Bottom