NEC Yatangaza Majimbo 26 mapya ya Uchaguzi

NEC Yatangaza Majimbo 26 mapya ya Uchaguzi

Umesoma hadi darasa la ngapi?

Unaambiwa majimbo yameogezwa, wewe unasema kufuta? Ina maana hujui kuongeza (kujumlisha) na Kupunguzwa (kutoa)!

Musoma vijijini litaendelea kuwepo, ila sasa limeogezwa jimbo jingine la Butiama.

Nafikiri hapa NEC wanamtafutia kama sio Prof Muhongo basi Makongoro jimbo.
Asante kwa taarifa.Elimu yangu ni ya darasa la kumi na mbili na ni miongoni mwa waliopata division 5.
 
Asante kwa taarifa.Elimu yangu ni ya darasa la kumi na mbili na ni miongoni mwa waliopata division 5.

Aisee pole sana! lakini hata hivyo bado hujachelewa siku hizi kuna elimu ya MEMKWA!
 
Aisee pole sana! lakini hata hivyo bado hujachelewa siku hizi kuna elimu ya MEMKWA!
Hapana naogopa kurudi shule kwa sababu hata wanaonifundisha wana elimu yenye matokeo kama ya kwangu yaani division 5 hivyo sitaweza kupata ushindi sawa na wa kwako.
 
Naona Said Meck Sadick ana furaha sana sasa baada ya mkuu kumtimizia ahadi aliyompa ya kumpa jimbo jipya la uchaguzi, la Dar es Salaam. Sadick anagombea jimbo jipya la Mbagala, wakubwa wameamua kupeana zawadi kwa kuzikamua tu kodi zetu.

Ova
 
Back
Top Bottom