Elections 2010 NEC yambumburusha Malima

AmaniKatoshi

Senior Member
Mar 31, 2009
158
14
Mgombea wa Chadema ambwaga Malima baada ya kukata rufaa NEC. Zingine zinakuja!

Source: Daily News | Chadema calls for head of Nyamagana returning officer

By KATARE MBASHIRU, 3rd September 2010 @ 23:04, Total Comments: 0, Hits: 33

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) has filed an objection to the National Electoral Commission (NEC), asking for removal of Nyamagana constituency’s returning Officer, Mr Wilson Kabwe, on grounds that he has not been fair to the party.

Acting CHADEMA General Secretary, Mr John Mnyika told reporters in Dar es Salaam on Friday that the move was prompted by the officer’s biasness which he has been demonstrating since the beginning of the process to screen candidates in the constituency.

He said the party had lost trust on Mr Kabwe after he was seen at the launching of campaigns of CCM councillorship aspirant in Nyamagana, Mr Dismas Bwire, and a recent decision to declare the incumbent MP Mr Lawrence Marsha, unopposed in the constituency.

He added that during the event, Mr kabwe pledged to find solutions to land disputes in Nyamagana and assured residents that their government was keen on resolving conflicts.

“I have talked to CHADEMA regional leaders and they have confirmed that they have faxed a letter of complaints to NEC Director against the election supervisor in that constituency,’’ he said.

Moreover, CHADEMA parliamentary aspirant in Nyamagana constituency, Mr Ezekiel Wenje, was earlier disqualified for allegedly not being a Tanzanian and he said yesterday he submitted his letter to the commission so that the election supervisor should be changed.

Mr Wenje will be contesting for Nyamagana constituency against the incumbent Minister for Home Affairs, Mr Lawrence Marsha after the appeal he submitted to NEC proved affirmative. Wenje expressed his gratitude to the Rorya residents for collaborating with him to quash allegations over his nationality.

He said his party would launch campaigns in Nyamagana on September 11. When reached for comment on CHADEMA’s petition, NEC Director Mr Rajabu Kiravu told the ‘Daily News on Saturday' in a telephone interview that his office was yet to receive the party’s objection on the Election Supervisor in Nyamagana constituency.

“I have not yet received any letter from either the MP or the party concerning the matter, so I have no comment on it,’’ Kiravu said.

Meanwhile, CHADEMA expressed its move to take legal action against the Minister for Home Affairs, Mr Lawrence Marsha for allegedly violating election ethics.

Mr Mnyika said the action by the minister to use his ministerial title by soliciting the National Media Group to issue information regarding his opponent, Mr Wenje on employment credentials was misuse of discretionary powers.

On the objection submitted by Mr Masha, it was alleged that Ezekiel Wenje purported himself as the Country Manager for National Media Group while he was a Sales Manager. “Misuse of powers is corruption, according to the Election Expenses Act. We are entitled to submit our complaints upon the use of government tittles by the candidates,” he said.

He said the party leaders at times sought advice from the party lawyers, after which legal actions would be taken against Marsha. Mr Mnyika said the party would have a parliamentary candidate in Mkuranga constituency, after the appeal submitted by Mr Sifa Majura was accepted by NEC.

Mr Majura is seeking to be elected a Member of Parliament for Mkuranga Consituency against the incumbent Deputy Minister for Energy and Minerals, Mr Adam Kigoma Malima, who was previously declared unopposed.

Meanwhile, Mr Mnyika expressed the party’s dissatisfaction by the way NEC was handling appeal results, saying that instead of informing the complainant and later the party, it should have announced them to the public because they were of public interest.

NEC director, Mr Rajabu Kiravu was quoted by some media outlets as saying the commission would not announce appeal results publicly. Instead it will inform the respective parties.
 
Ni kweli bora NEC wamuondoe huyu Mkurugenzi wa Halmashauri (aka NEC Returning Officer), kama vile walivyofanya kwa yule wa Tanga mwaka 2005 baada ya kugunduliuka alikuwa anamfanyia kampeni waziwazi mgombea wa CCM, Bakari Mwapachu. Lakini swali linakuja: Jee, huyo mpya atakayeteuliwa NEC watashirikishwa? Au Pinda atamteua tu kada yeyote tu wa CCM awe the new Returning officer kule Nyamagana?
Upinzani una kazi kubwa kweli kweli kupambana na kityu hii ya CCM!!!!
 
Kwa nini mambo haya hayatangazwi waziwazi?? Watu wanaweza kuaminishwa kwenye kampeni kuwa hakuna mpinzani kwa sababu ameshatupiliwa mbali na NEC.
Ni vizuri NEC wakatangaza mambo haya hadhari kupitia redio, TV na magazeti.
 
Kwa nini mambo haya hayatangazwi waziwazi?? Watu wanaweza kuaminishwa kwenye kampeni kuwa hakuna mpinzani kwa sababu ameshatupiliwa mbali na NEC.
Ni vizuri NEC wakatangaza mambo haya hadhari kupitia redio, TV na magazeti.

Uko sahihi kabisa, wanasiasa wana jinsi yao ya kufanya mambo, kunyima wapiga kura taarifa. Na tena amini msiamini, bado watu wengi tena wenye uwezo wa kusoma hawajui yaliyomo magazetini. Nilikuwa na watu wanne jana, wawili wao walinishangaza pale waliposema kuwa Slaa anawania uraisi kupitia CCM, kwa nini ampinge Mwenyekiti wake! Sasa nilipowauliza ni lini mara ya mwisho kusoma magazeti walinishangaza sana, hawasomi magazeti, na wala hawafuatii habari za siasa...inaonekana walau radio, maana kama anasikiliza moja, sikio la asiyefuatilia litasikia tu!
 
Story nzuri lakini mbona sikuona habari zozote za Malima kama ulivyoainisha hapo juu kwa maandishi mekundu? Ebu sema ni nini hasa umekusudia maana hii story tumeisikia sana na nilifungua thread hii kwa sababu ya kusoma neno Malima hapo juu.
 
Back
Top Bottom