Elections 2010 NEC na Wapigakura milioni 19.6: Chadema yashuku daftari limechakachuliwa

Even population figures are just estimates (we do not know the margin of error). The population could be less (more likely scenario) BUT the number of potential voters is real. Mind you, not all eligible persons have registered in the list!!!!!. Hilo daftari lina matatizo.
 
Kiutaalam kila chama kinatakiwa kuwa na copy ya voters ili siku ya uchaguzi wapitie jina kwa jina kwa kila mtu anayeingia kupiga kura.. ikiwa utaratibu huu haukufanyika na hautafanyika basi Chadema na vyama vya Upinzani wameumia..

As far as I know they will have this two weeks or so before the polling day! NEC has promised this!
 
As far as I know they will have this two weeks or so before the polling day! NEC has promised this!

But they were supposed to issue it one month before the voting day. This is what they agreed with parties in their madili committee. What happened?
 
hapa hakuna kulalamika wala kulia.. watu walikubali kucheza kwa sheria zilizopo na taratibu zilizopo wawe tayari kukubali matokeo yake vile vile.
 
Cha kufanya, vyama vya upinzani na wanaharakati wasiishie kulalama magazetini, wachague mkoa au jimbo walilo na wasiwasi nalo waende physically wakalinganishe kama kweli watu wenye namba hizo wapo.
Tatizo ni kuwa NEC hado haijakabhidhi daftari hilo kwa cvyama vya siasa, hivyo inakuwa ngumu sana kufanya hiyo verification. Makame anasema anayetaka kuhakikisha aende pale NEC kuangalia data bank yao... sijui kwa nini hawataki kuliweka hili daftari la kudumu hadharani mapema. Najua wataliweka hadharani lakini watafanya hivyo zikiwa zimebakia siku chache kabla ya uchaguzi na wanafanya hivyo makusudi kwa sababu wanajua wakati ni wa lala salama na hakuna chama kitajikita zaidi katika kuhiji orodha ya wapiga kura kwa sababu watakuwa wamejikita katika kampeni za dakika za mwisho
 
Point on!
Prof's argument is based on statistics,not on the actual.The way ensure closer observation of the voters identities on election day
 
mtu yoyote anayewaamini NEC, Makame na Kiravu ni mwendawazimu hii mijitu ni CCM nambari moja kwa hiyo musitegeme chote chote cha maana mimi nangoja mwisho wa mwezi nijeniwacheke watu wale wenye tamaa ya kushinda.

Wendawazimu pekee wanaweza kuwatambua wendawazimu wenzao! Teh teh teh!
 
suala la daftari la kura litolewe ufafanuzu

Lakini mbona watu tunapenda zima moto mimi ni chadema damu,tatizo ni kwamba Kinachoongelewa sasa si uhalisia wa mambo.ukweli hasa ni huu
1.Tusitegemee watu kujaa mikutanoni ndio ushindi.Kuna watu wengi wanafika kila mkutano wa kila chama, Pia tumeshaona chaguzi zilizopita watu wengi kura chache.
2.Chadema as chadema haijashika nchi kutoka mijini to village.kwa bahati nzuri mimi nature ya kazi zangu ni rural areas naiona hali halisi.

Cha kufanya
1.Dk Slaa almost amekamilika na kwa sasa anafaa atukuzie chama, kutoka wabunge 5 mpaka wabunge 30 na kura za kutosha za urais kwa ruzuku ya kutosha chama kitakuwa juu sana.
2. Baada ya oct 31 kampeni ndio zianze nchi nzima(sio baada ya uchaguzi basi mpaka uchaguzi mwingine).tukiwa tumecover nchi yote kwa matawi imara ya chama na wanachama hai.Hatutakuwa na tatizo la kuibiwa kura kwani zitasimamiwa na members wetu.
n.
 
hapa hakuna kulalamika wala kulia.. watu walikubali kucheza kwa sheria zilizopo na taratibu zilizopo wawe tayari kukubali matokeo yake vile vile.

Nadhani sijakuelewa Mkuu MMKJJ. "Watu walikubali kucheza kwa sheria zilizopo" ni sawa, lakini jee, huko nyuma ya mapazia hao NEC wakifanya uchakachuaji kwa lengo la kutoa ushindi kwa CCM ki-uharamu utasema tulikubali kucheza kwa sheria zilizopo? Na tusilie?
 
Back
Top Bottom