Sijambo mjukuu. Vitukuu vyangu havijambo?
Unapata wapi moyo wa kutumia hiyo avatar?
Wameandaliwa karanga na ubuyu kama kawaida.
Ila baadhi ya walimu ni bahili sana. Na hiyo mentality ya ubahili , baba jesca imemuathiri sana.Kali ilikuwa ile ya pipi kufua na maji ya kunywa