Ndugu zetu wanahitaji msaada wetu ili waweze kupata matibabu

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
359,869
Reaction score
828,403
IMG-20251228-WA0010.jpg
.

Hawa mnaowaona hapa ni Watanzania wenzetu ambao wamepata madhira mbalimbali.

Picha ya Kwanza anaitwa Kuringe Sawere huyu alitekwa na Maofisa wa Polisi Disemba 4, 2025 baada ya wiki mbili kupita kuna msamalia mwema alitujulisha kwamba Kuringe kafichwa kituo cha Polisi Chang’ombe Dar es salaam lakin alikuwa ameteswa sana kiasi kwamba alikuwa anatembelea tumbo maana alipigwa sana maeneo ya kwenye nyayo, magoti na mgongo.

Disemba 22 aliachiwa kwa dhamana ya Polisi lakin hali yake kiafya sio nzuri bado anapata maumivu makali ya miguu na mgogo hivyo anahitaji kufanya vipimo ili aweze kupata tiba.

Picha namba 2 ni Musa Ndile huyu alitekwa November 27, 2025 na maofisa wa Jeshi la Polisi, walimpiga sana na kumuumiza miguu yote miwili, Disemba 17 aliachiwa kwa dhamana lakin bado hawezi kutembea vizuri, anachechemea hivyo anahitaji matibabu zaidi ili aweze kuwa sawa.

Picha no. 3 ni Alex Mutembei yeye alipigwa risasi ya kwenye paja Oktoba 29 lakin mpaka Leo hawezi kunyoosha mguu wake lakin pia mguu huo umeanza kuwa mwembamba hivyo anahitaji matibabu zaidi.

Picha namba 4 anaitwa Martin Elia huyu alipigwa risasi Oktoba 29 hali ya mguu wake inazidi kuwa mbaya kwasababu anajiuguzia nyumbani, anahitaji msaada ili aweze kupelekwa Hospital kwa ajili ya matibabu ili aweze kupona.

Hivyo basi tunaomba mchango wako kiasi chochote ulichojaliwa na Mungu ili tuweze kuokoa maisha ya hawa ndugu zetu

Michango itumwe kwenye namba

Mpesa: 0744719187
Jina: Musa Ndile
 
View attachment 3521711.

Looh, kwa kweli nchi yetu kuongozwa na zero brain tumepatikana! Yaani polisi wanatesa watu mpaka wanashindwa kutembea? Halafu punguani moja linasimama linasema nataka kulifanyia mabadiliko jeshi la polisi! Labda ukafanye mabadiliko ya matako yako! Jeshi lilishachuja kwa wananchi halitakaa liwe na urafiki a raia tena!
 
Mahi
View attachment 3521711.

Hawa mnaowaona hapa ni Watanzania wenzetu ambao wamepata madhira mbalimbali.

Picha ya Kwanza anaitwa Kuringe Sawere huyu alitekwa na Maofisa wa Polisi Disemba 4, 2025 baada ya wiki mbili kupita kuna msamalia mwema alitujulisha kwamba Kuringe kafichwa kituo cha Polisi Chang’ombe Dar es salaam lakin alikuwa ameteswa sana kiasi kwamba alikuwa anatembelea tumbo maana alipigwa sana maeneo ya kwenye nyayo, magoti na mgongo.

Disemba 22 aliachiwa kwa dhamana ya Polisi lakin hali yake kiafya sio nzuri bado anapata maumivu makali ya miguu na mgogo hivyo anahitaji kufanya vipimo ili aweze kupata tiba.

Picha namba 2 ni Musa Ndile huyu alitekwa November 27, 2025 na maofisa wa Jeshi la Polisi, walimpiga sana na kumuumiza miguu yote miwili, Disemba 17 aliachiwa kwa dhamana lakin bado hawezi kutembea vizuri, anachechemea hivyo anahitaji matibabu zaidi ili aweze kuwa sawa.

Picha no. 3 ni Alex Mutembei yeye alipigwa risasi ya kwenye paja Oktoba 29 lakin mpaka Leo hawezi kunyoosha mguu wake lakin pia mguu huo umeanza kuwa mwembamba hivyo anahitaji matibabu zaidi.

Picha namba 4 anaitwa Martin Elia huyu alipigwa risasi Oktoba 29 hali ya mguu wake inazidi kuwa mbaya kwasababu anajiuguzia nyumbani, anahitaji msaada ili aweze kupelekwa Hospital kwa ajili ya matibabu ili aweze kupona.

Hivyo basi tunaomba mchango wako kiasi chochote ulichojaliwa na Mungu ili tuweze kuokoa maisha ya hawa ndugu zetu

Michango itumwe kwenye namba

Mpesa: 0744719187
Jina: Musa Ndi
Mshiko wa Ford Foundation umeishia? Hicho ho ulichokipata wape wakajitibu.. Siwezi kuchangia pesa niliyoipata Kwa tabu Kwa wapuuzi hao... Hiyo miguu ingeiza kabisa
 
Poleni sana haya mambo Huwa anjitolea tajiri mmoja tu anamwaga pesa lakin kwa SABABU hum wengi ni kupigana mikwara tu tajir tajiri wapi
 
Back
Top Bottom