Ndugu zangu wapare naomba msaada wenu

Ndugu zangu wapare naomba msaada wenu

poor

Member
Joined
Oct 18, 2013
Posts
46
Reaction score
11
poleni sana na majukumu

mimi ni kijana (23) kutoka kabila fulani mashariki mwa tanzania, nataka kutembelea pande za upareni soon..shida yangu ni lugha, naomba mnipe maneno machache mafupi ili niweze japo kusalimia,kushukuru,kuomba maji, kutoa ahadi kwamba tutaonana baaye,nakup..da etc.
 
salaam zipo nyingi kama UREWEDI unajibu NDEJEDI....NAMNANI unajibu NCHEDI...WASHINDADHE-CHEDI
MAJI-MADHI
NIKUKUNDA-NAKUPENDA
NITONGA-NAKWENDA
AVACHE-ASANTE
JA NDIMA-ZA KAZI
MBORA-MSICHANA
MBWANGE-MVULANA
NIKUTII-NAKWAMBIA

NIKUTII NDHOO AHA-NAKWAMBIA NJOO HAPA
 
Back
Top Bottom