Ndugu zangu Wakenya jichungeni na Samaki.

imhotep

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
51,735
81,164
Kutokana na Bahari ya Jirani Zenu Somalia ya Kusini Kufanywa Dampo la Nuclear waste Samaki wengi wako Radioactive.


Na Bado Serikali hii ya Somalia yenye Laana inahongwa na Makampuni ya Kumwaga Takataka zenye Mionzi hatari

Na kama Mnavyojua Samaki hawana Mipaka

Ni bora Posho yako iende na Sukuma wiki kuliko Samaki wenye macho matatu.

Sina Maana ya Wale wa Lake Victoria na Ma lake zingine,Samaki wa Bahari ya hindi.

Black-Sea-Bream.jpg

Radioactive Fish from Fukushima.

radioactive-fish.jpg

Huyu ni wa kutoka Somalia ni Hatari na Bado wanatoa Leseni za Dumpin Serikali ya Mogadishu.
 
Wenyeji haswa wa pwani ya Afrika ya Mashariki ni Kujichunga kwa Maana waweza Kula Mlo utakao Kuletea Saratani.
 
Wale wanaokunywa SUPU ya pweza.. Angalien sana..

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo supu itakuwa si ya kitoto maana itakuwa na Radium sijui Polonium kitu ukinywa kinaanza ku disintegrate na kuanza kutoa half life..
Kuchukua Samples za Samaki na Kupima Mionzi Haswa wa Mikoa ya Tanga na Dar Pengine hata na Visiwani.
Hiyo inaonesha tuu kama kuna athari au la, lakini haita zuia watu kuvua na si rahisi kufanya doria eneo lenye urefu wa zaidi ya 1000miles.
 
Hiyo inaonesha tuu kama kuna athari au la, lakini haita zuia watu kuvua na si rahisi kufanya doria eneo lenye urefu wa zaidi ya 1000miles
Kwa Kawaida Samaki sio Wote wana Uwezo wa kusafiri Umbali Huo ila Nchi Ambayo iko hatarini Sana ni Kenya na Ndio Maana Maana Uzi huu nimeuleta hapa,
Kuna Maelezo ya najaribu kuyaweka hapa jisomee mwenyewe Mjumbe wa UN wakati huo

Ahmedou Ould-Abdallah, the UN envoy to Somalia, tells me: "Somebody is dumping nuclear material here. There is also lead, and heavy metals such as cadmium and mercury – you name it." Much of it can be traced back to European hospitals and factories, who seem to be passing it on to the Italian mafia to "dispose" of cheaply. When I asked Mr Ould-Abdallah what European governments were doing about it, he said with a sigh: "Nothing. There has been no clean-up,
 
Acheni watetezi wetu wa demokrasia na washirika wa maendeleo watupe takataka za sumu kwetu. Hawapendi tufe wataleta misaada ya tiba kwa hisani ya walipa kodi wao.

Wanatupenda sana hawatakubali tufe.
 
Asilimia Kubwa ya Wasomali wa Kusini wana Viwango Vikubwa Vya Madini ya Lead na Mercury Kwenye Miili yao.
Wakati Ule wa Indian Ocean Tsunami kiasi kikubwa cha Toxic Waste kilikuja Kumwagwa kwenye Pwani na Mawimbi ya Bahari.

Baadhi ya Watu waliugua maradhi na wengine kukumbilia Inland.
 
Kutokana na Bahari ya Jirani Zenu Somalia ya Kusini Kufanywa Dampo la Nuclear waste Samaki wengi wako Radioactive.


Na Bado Serikali hii ya Somalia yenye Laana inahongwa na Makampuni ya Kumwaga Takataka zenye Mionzi hatari

Na kama Mnavyojua Samaki hawana Mipaka

Ni bora Posho yako iende na Sukuma wiki kuliko Samaki wenye macho matatu.

Sina Maana ya Wale wa Lake Victoria na Ma lake zingine,Samaki wa Bahari ya hindi.

View attachment 1042026
Radioactive Fish from Fukushima.

View attachment 1042027
Huyu ni wa kutoka Somalia ni Hatari na Bado wanatoa Leseni za Dumpin Serikali ya Mogadishu.
Ionizing radiation causes cancer
 
imhotep ,Kenyans have been consuming carcinogenic fish from China. We know very well that processed meat causes cancer. It's loaded with carcinogenic preservatives.
Chinese are ruthless!
 
It's More Likely to Die of Cancer in South Somalia than From Al shababu Bombs.
 
Farmaajo-2-3.jpg

Waangalie Tembea yao na Afya zao hawa watu hawako Salama kwanza Lead hufanya watu awe kichaa ni Miraa tu ndio inawafanya watembee.
 
Symptoms of lead poisoning are stomach pains, constipation, diarrhea, aggressiveness, anxiousness, hyperactivity, muscle pain, weakness, weight loss, learning disabilities, convulsions and eventual death with chronic lead poisoning. Lead poisoning victims usually become anemic. This symptom usually persists for about 2 weeks from time of exposure, then settles into the
organs, bones and even hair. We still do not know the long term effects of lead exposure.
Hizo tabia ni Nyingi Miongoni Mwa South Somalia Populations
 
Back
Top Bottom