Ndugu zangu wa Arusha Mwenye kujua braeburn international school

Nimeona niulize wenyeji ili nipate ufafanuzi zaidi kuliko kutegemea Google
Gugo ni msaada mzuri sana ktk kutrack location hivyo nakushuli usisite kutumia gugo na kuchanganya na maarifa uliyo nayo...

Utafika kila kona bila wasi wasi... Labda kuwe na poor network
 
Wewe mwl mtarajiwa tayari umeshafeli intaviyuuu! Yaani mwajiri wako mtarajiwa hujui hata anapatikana wapi? Yaani kuwa na njaa ya Kazi unaomba omba Kazi bila hata kufanya tafiti kidogo juu ya huyo unayetaka akuajiri?! Aibu hii.
 
hiyo shule imejaa wazungu, wahindi waafrika ni wachache wale watoto wa matajiri na raia wa kigeni, niko arusha sasa hivi wamenipita wanafunz wa hiyo shule hakuna anaejua kiswahili kabisa, kama kiingereza chako ni cha ugoko utateseka sana
asije kusema hukumwambia
 
Wewe mwl mtarajiwa tayari umeshafeli intaviyuuu! Yaani mwajiri wako mtarajiwa hujui hata anapatikana wapi? Yaani kuwa na njaa ya Kazi unaomba omba Kazi bila hata kufanya tafiti kidogo juu ya huyo unayetaka akuajiri?! Aibu hii.
Sawa
 
Siwezi kukupangia cha kukoment your a free mind.
 
Samahani hivi kuna Km 470 kutoka Dar mpaka Arusha ?
1130050
 
Usipoelewa mtoa mada njoo nkueleweshe vzur pm uje na buku ya vocha lakn
 
Lakini ninayoyasema yana ukweli. Haukufanya tafiti yoyote juu ya huyu mwajiri mtarajiwa wako kabla ya kupeleka maombi ya ajira. Kama mwl uluyepitia mafunzo lazima ulielewe hili. Anyway; kila la kheri ktk intaviyuuu yako. Tuletee mrejesho basi
Siwezi kukupangia cha kukoment your a free mind.
 
Lakini ninayoyasema yana ukweli. Haukufanya tafiti yoyote juu ya huyu mwajiri mtarajiwa wako kabla ya kupeleka maombi ya ajira. Kama mwl uluyepitia mafunzo lazima ulielewe hili. Anyway; kila la kheri ktk intaviyuuu yako. Tuletee mrejesho basi
Mkuu Kuna namna mbali mbali za kupata information juu ya mahali fulani Kuna kazi,, umepewa deadline ya kuomba Sasa utaanza kufanya utafiti na muda una kusubiri? Acha mambo ya uswahili mkuu
 
Haya mwl..uswahili wangu kwa hili ulikuwa wa nia njema kabisaaa. Unaweza kuwa mwl mazuriii tuu Ila job searching skills ni mnyama mwingine tofauti. Kila la kheri ndugu ktk kutafuta Hiyo ajira. Narudia tafadhali tuletee mrejesho wa habari nzuri au mbaya! All the best.
Mkuu Kuna namna mbali mbali za kupata information juu ya mahali fulani Kuna kazi,, umepewa deadline ya kuomba Sasa utaanza kufanya utafiti na muda una kusubiri? Acha mambo ya uswahili mkuu
 
Mkuu Kuna namna mbali mbali za kupata information juu ya mahali fulani Kuna kazi,, umepewa deadline ya kuomba Sasa utaanza kufanya utafiti na muda una kusubiri? Acha mambo ya uswahili mkuu
Dogo acha ligi unachoambiwa ni sahihi kitaalam unatakiwa uwe na abc za mwajiri. Wewe ndo kwanza unaanza kuulizia majengo yako wapi. wasomi wa sasa mnafundishwa nini huko shuleni.chaaa...
 
hiyo shule imejaa wazungu, wahindi waafrika ni wachache wale watoto wa matajiri na raia wa kigeni, niko arusha sasa hivi wamenipita wanafunz wa hiyo shule hakuna anaejua kiswahili kabisa, kama kiingereza chako ni cha ugoko utateseka sana
Ni kweli anacho ongea hiyo shule
 
Hiyo shule ali soma master j producer, ni kiwango sana bro ipo km chache sana kutoka jijini chuganian. karibu sana officer
 
Back
Top Bottom