Ndugu zangu wa Arusha Mwenye kujua braeburn international school

Mzee wa kusawazisha

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
1,587
1,136
Ndugu yenu hapa kutoka mtwara vijijini Nimetuma juzi applications ya teaching kupitia barua pepe nimejibiwa leo Kua wamepokea applications zangu wata shortlist June 24..and they will be back to me ONLY IF... . Hivi Mwenye kujua hii shule iko wapo pale arusha na maisha Yao pale..
NB: naweza itwa interview Sasa naomba kidogo maelezo ya awali..
 
hiyo shule imejaa wazungu, wahindi waafrika ni wachache wale watoto wa matajiri na raia wa kigeni, niko arusha sasa hivi wamenipita wanafunz wa hiyo shule hakuna anaejua kiswahili kabisa, kama kiingereza chako ni cha ugoko utateseka sana
 
Sawa,hawapo wafrika wanaosoma hapo?
 
hiyo shule imejaa wazungu, wahindi waafrika ni wachache wale watoto wa matajiri na raia wa kigeni, niko arusha sasa hivi wamenipita wanafunz wa hiyo shule hakuna anaejua kiswahili kabisa, kama kiingereza chako ni cha ugoko utateseka sana
🤣🤣🤣🤣🤣 wapo wanao fahamu swahili... Usimtishe mwenzio...

Wana tawi pia Dsm pale mbezi beach nazani barabarani hapo kuelekea green acre kama sijachanganya madesa... Arusha wapo huko kisongo na hapa mjini Karina na AICC hospital na gymkana road sio mbali na kijenge round about
 
Tumia gugo map au nenda gugo mtwara (ulipo) to breabun arusha utaoneshwa umbali na masaa utakayo tumia
 
Ndugu yenu hapa kutoka mtwara vijijini Nimetuma juzi applications ya teaching kupitia barua pepe nimejibiwa leo Kua wamepokea applications zangu wata shortlist June 24..and they will be back to me ONLY IF... . Hivi Mwenye kujua hii shule iko wapo pale arusha na maisha Yao pale..
NB: naweza itwa interview Sasa naomba kidogo maelezo ya awali..
kule unaenda kuwasawazisha nini watoto wa kithungu mzee baba
 
1130035
 
Back
Top Bottom