Ndugu zangu nifahamisheni nimuwokee nani?

Ndugu zangu nifahamisheni nimuwokee nani?

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,111
Reaction score
34,941
1904185_927447763936309_8677553300489588950_n.jpg


Mfano, nyumba yenu inawaka MOTO na wewe ukawa kwenye nafasi ya kutoka na mojawapo ya

vifuatavyo:



1. Million 900


2. Mama yako


3. Baba yako


4. Mtoto wako wa miaka 3

5. Mke Au Mpenzi wako



Wewe ungeokoa nini?
 
Mama....

Mpenzi ntapata mwengine

Mtoto ntazaa mwengine

Baba japo roho itauma ntamuacha aende

Mama-hakuna kama mama,mwanamke ambae alinibeba katika tumbo lake miezi 9 akanizaa kwa uchungu,akajawa na hofu na kukosa raha wakati nikiwa mgonjwa,akanilea na kunitunza hadi leo na mimi naitwa mama...

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
1904185_927447763936309_8677553300489588950_n.jpg


Mfano, nyumba yenu inawaka MOTO na wewe ukawa kwenye nafasi ya kutoka na mojawapo ya

vifuatavyo:



1. Million 900


2. Mama yako


3. Baba yako


4. Mtoto wako wa miaka 3

5. Mke Au Mpenzi wako



Wewe ungeokoa nini?

Kiongoz wangu Mzizi Mkavu, kuna dada mmoja jana alipost kuwa yeye alikuwa na ujauzito wa miez3, sasa sijui huko nyuma nadhan ulishawah kutoa somo kuhusu kitunguu swaumu kutibu jambo fulani(hakusema ni ugonjwa gani unafaa kwa doz aliyotumia yeye,ambayo ni kitunguu swaumu na maji ya uvuguvugu). Matokeo yake dada kesho yake alianza kutoa matone ya damu, lakini jioni ikawa ni full bleeding, ambapo watu wengi walicomment kuwa hiyo ni miscariage au MISSED Miscarriage, kiufupi mimba ishatoka. Sasa tulikuwa tunasubiri inputs zako kwa kadhia hii. Ila hadi sasa hujaongea lolote!
 
1904185_927447763936309_8677553300489588950_n.jpg


Mfano, nyumba yenu inawaka MOTO na wewe ukawa kwenye nafasi ya kutoka na mojawapo ya

vifuatavyo:



1. Million 900


2. Mama yako


3. Baba yako


4. Mtoto wako wa miaka 3

5. Mke Au Mpenzi wako



Wewe ungeokoa nini?

Sepa na hizo million 900 zitakusaidia wakati wa msiba na kujenga nyumba nyingine
 
Mkulu aliwahi kusema akili za kuambiwa changanya na zako,mimi nimeshazikoroga kabisaaa...
 
miliion 900 sio masikhara bora ulie msiba huku una milion 900 kuliko kulia msiba na mama yako baba yako mkeo ay mtoto milion 900 sio mchezo
 
Duh. ..hapa kama ni mtihani,utafika muda wa kukusanya paper na sijajaza chochote. ...
Mungu apishie mbali hayo majaribu.
 
Wote ni wa muhim sana kwangu nitakae weza kumuokoa nitamshukuru MUNGU. milioni 900 kitu gani bana mbona wanaziacha?
 
Back
Top Bottom