Ndugu zangu naombeni ushauri, ujauzito huu ni wa nani au nifanye nini?

Astaghafirullah, mke wako amefanya uchafu huo na amekubali alafu umemsamehe! Come on man.
 
Hapa watu naona wana kashfu na kumlaumu jamaa badala ya kutoa ushauri kama mleta mada alivyoomba
Ukiangalia kilamtua anangangania kuwa mtoto sio wa jamaa wakati sio kweli
Kwa maelezo ya mkuu gody alolala na mke wake usiku wa tar. 29>30/8 pia akaja kulala nae tena tar 02/9 then kesho yake mkewe ndio akaenda kwa hawara mkoani.
Sasa rejea maelezo ya Dr. kuwa alale na mkewe kuanzia tar. 1>5/9 sasa yeye alilala nae tar 2/9 so yey ndio wakwanza kulal na mke wake kabla ya huyo hawara
Kwa maantiki hiyo mtoto ni wake na sio wa huyo hawara ..
Kwa maelezo yake yeye hana tatizo lolote kiafya maana alithibitishiwa na madaktar hvyo...
Embu tu simamie kwenye lengo sio kuhangaika kutoa maneno ya kuvunja ndoa ya watu wakati wenyewe wamesha patana..
Asante.
 
Habari wakuu,

Naamini ni wazima wa afya.

Naomba niende moja kwa moja kwenye mada..

Ndugu zangu, nina miaka kadhaa tangu 6/2012 nimuoe shemeji yenu, tumekuwa tukihangaika kupata mtoto lakini mpaka mwaka huu ikawa imeshindikana bila mimi kuwa na shida yoyote na yeye mke wangu alikuwa na matatizo madogo dogo (majibu ya hosptal) ambayo tulishasolve lakini bado ikawa bado mtoto kupatikana.

Sasa kufikia tar 20/08/2016 tukashauriwa tumuone Dr. fulani hivi ni mtaalamu wa wanawake na alikuwa amesaidia wengi tu, Tarehe hiyo hiyo mke wangu alikuwa kwenye siku zake ndo ilikuwa inaanza alipewa dawa za siku 5 kila mwezi atapoingia bleed lakini kuanzia alipoanza kutumia hizi dawa kulikuwa na madiliko katika mwili wake uke unakuwa na ute wa kutosha wakati wa kukutana na wife, na Dr kutokana tarehe hizo alizoingia Bleed akatueleza kuwa kuanza Tar 01-05/09/2016 tuanze kukutana na mke wangu kwani si siku nzuri za kupata ujauzito.

Sasa hapa naomba wataalamu kuhesabu tarehe za mwanamke kushika Mimba wachukue nafas hasa huu wa siku 28 kufika tarehe 29 au 30/08/2016 nakumbuka nilikutana na mke wangu usiku kwa furaha tu.

Lakini kufika tareh 02/9 jioni mke wangu aliniomba ruhusa ya msibani lakini sikumjibu chochote ili badae kidogo niombe chakula ya usiku nikapewa lakini si kwa furaha kivile kama alinitengea tu nilipomaliza nikampa jibu kuwa hakuna kwenda msibani lakini asubuhi aliondoka kienyeji tu na akasafiri akaenda mkoani kwa hawara yake aliyekuwa anachat naye kwa siri sana.

Akaenda akalala naye{inauma} huko Jumamosi kuamakia Jumapili jioni ndo akaingia home nilimbana sana aeleze alipokuwa alikataa kusema japo tayari nilishajua kama wiki hivi alikubali baada ya ugomvi mkubwa sana tukasuluhisha nimamsamehe lakini baada wiki mbili alikuwa mjamzito lakini aliogopa kusema mojamoja kwangu mpaka siku ya 3 ndo kuniambia na mimi nikakataa na kumuuliza hii mimba ya nani? Anajibu yangu nikauliza kwanini na kipi vipi? Ooh yule mwanaume hasimamishi vizuri{inauma}

Sikukubali tareh 22/10/2016 tukaenda kuchek ultrasound ili nijue kama inaweza ku-calculate mimba hii ni ya siku ngapi lakini majibu ujauzito ni wa 7 weeks na siku kadhaa.

Sasa ndugu zangu naombeni ushauri ujauzito huu ni wa nani au nifanye nini?

Nipo njia panda ndugu yenu sina majibu kabisa please

Samahani kama nimechanganya au sijaeleweka sehemu maana natumia simu kuandika.

Asante.
Acha kulalamika mimi ndo niliempa mimba naendelea kukuzia dogo afanane na kakaake mwone kwa profile.
 
Aisee hii kesi ni ngumu sana hata kwa sisi wazee...

Huyu mleta mada ni mtu jasiri sana...

Mwanamke kaondoka bila kuaga akaenda kwa hawara yake katika tarehe ambayo daktari alishamhakikishia ndio nzuri ya kushika ujauzito... akalala huko usiku kucha. Akakiri jamaa kamlamba... Akapata ujauzito lakini "akaogopa" kusema... baadaye akasema. Kisha anakuambia mimba ni yako kwa kuwa jamaa "hadindishi vizuri"

Hapa kwa sisi wazee wa zamani tunahesabu makosa yafuatayo kwa mwanamke huyu:

1. Mkaidi na mkorofi (Kuondoka kwa jeuri kwenda kwa hawara yake)
2. Mzinzi (kulalwa na hawara yake usiku kucha)
3. Asiyejali (kulalwa na hawara bila kutumia kinga)
4. Muongo (kudanganya hawara aliyemfungia safari kumfuata huko aliko hadindishi vizuri)
5. Mlaghai (kumbambikiza mmewe mimba hewa)

Kwa haya machache tu, baraza la wazee tunamtunukia mleta mada kwa ujasiri uliotukuka aliokuwa nao, kwa maana hakika hapa alipaswa kutuambia sababu zilizomfanya amtaliki mkewe na wala si kutuuliza mimba ile ni ya nani.

Mke haachwi ila kwa zinaa. Kuna kusameheana lakini kosa hili la kudhamiria, lililoambatana na kiburi na ufedhuli wa hali ya juu... hapana bhana!!

Ila kwakuwa wahenga walishatudanganya kitanda hakizai kharamu, basi ngoja tumwache afuate ushauri wa JK... Akili za kuambiwa, changanya na zako.

Baada ya kusema hayo, tafazali nipelekee salamu zangu za dhati kwa mwalimu snowhite na michepuko yangu Heaven Sent , Heaven on Earth , Honey Faith ,atoto Valentina .

Unasalimiwa na shemeji yako geniveros

cc Kaizer
Ujirani wetu si tulishauzika kitambo?
 
Wanasema tunayoyasoma kwenye mitandao ya kijamii yanareflect maisha yetu halisi kwa asilimia kubwa.
Na hawa ndio wanaume tunakaa pamoja vijiweni tukipena maujanja eti!
Kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi...

Wakiwa huko vijiweni wajanja kweli kweli..

Wakifika "ndani" wanakunjia "mikia" nyuma kama mbwa muoga.
 
Habari wakuu,

Naamini ni wazima wa afya.

Naomba niende moja kwa moja kwenye mada..

Ndugu zangu, nina miaka kadhaa tangu 6/2012 nimuoe shemeji yenu, tumekuwa tukihangaika kupata mtoto lakini mpaka mwaka huu ikawa imeshindikana bila mimi kuwa na shida yoyote na yeye mke wangu alikuwa na matatizo madogo dogo (majibu ya hosptal) ambayo tulishasolve lakini bado ikawa bado mtoto kupatikana.

Sasa kufikia tar 20/08/2016 tukashauriwa tumuone Dr. fulani hivi ni mtaalamu wa wanawake na alikuwa amesaidia wengi tu, Tarehe hiyo hiyo mke wangu alikuwa kwenye siku zake ndo ilikuwa inaanza alipewa dawa za siku 5 kila mwezi atapoingia bleed lakini kuanzia alipoanza kutumia hizi dawa kulikuwa na madiliko katika mwili wake uke unakuwa na ute wa kutosha wakati wa kukutana na wife, na Dr kutokana tarehe hizo alizoingia Bleed akatueleza kuwa kuanza Tar 01-05/09/2016 tuanze kukutana na mke wangu kwani si siku nzuri za kupata ujauzito.

Sasa hapa naomba wataalamu kuhesabu tarehe za mwanamke kushika Mimba wachukue nafas hasa huu wa siku 28 kufika tarehe 29 au 30/08/2016 nakumbuka nilikutana na mke wangu usiku kwa furaha tu.

Lakini kufika tareh 02/9 jioni mke wangu aliniomba ruhusa ya msibani lakini sikumjibu chochote ili badae kidogo niombe chakula ya usiku nikapewa lakini si kwa furaha kivile kama alinitengea tu nilipomaliza nikampa jibu kuwa hakuna kwenda msibani lakini asubuhi aliondoka kienyeji tu na akasafiri akaenda mkoani kwa hawara yake aliyekuwa anachat naye kwa siri sana.

Akaenda akalala naye{inauma} huko Jumamosi kuamakia Jumapili jioni ndo akaingia home nilimbana sana aeleze alipokuwa alikataa kusema japo tayari nilishajua kama wiki hivi alikubali baada ya ugomvi mkubwa sana tukasuluhisha nimamsamehe lakini baada wiki mbili alikuwa mjamzito lakini aliogopa kusema mojamoja kwangu mpaka siku ya 3 ndo kuniambia na mimi nikakataa na kumuuliza hii mimba ya nani? Anajibu yangu nikauliza kwanini na kipi vipi? Ooh yule mwanaume hasimamishi vizuri{inauma}

Sikukubali tareh 22/10/2016 tukaenda kuchek ultrasound ili nijue kama inaweza ku-calculate mimba hii ni ya siku ngapi lakini majibu ujauzito ni wa 7 weeks na siku kadhaa.

Sasa ndugu zangu naombeni ushauri ujauzito huu ni wa nani au nifanye nini?

Nipo njia panda ndugu yenu sina majibu kabisa please

Samahani kama nimechanganya au sijaeleweka sehemu maana natumia simu kuandika.

Asante.
Dah bro huo ujauzito wa huyo jamaa cha kufanya 2 huyo co mke wa kuish nae maana msenge kukuacha ww lijali na kwenda kwa bwege mwengne so piga chn kama mimba yako itakufata 2
 
Back
Top Bottom