NO wonder omba omba wapo wengi nchini,mtu amevaa vizuri anapita mjini akipiga watu mizinga ya buku mbilie etc,kwani Raisi ameanza first terma kwa kuomba misaada dunia nzima ,na anamalizia term yake kwa kuomba misaada dunia nzima.
As a result wananchi tuonaona kuomba na kupokea misaada ni jambo poa na unapokea huku ukismile, tuisichojua ni kuwa unapo pokea misaada anayefaidika ni mtoaji na siyo mpokeaji.
this formula ipo ktk biblia ,na ipo hata ktk dini za budhism za india ambazo zilikuwepo kabla ya 5000 years.
Back to my point, Raisi anayefurahia misaada Hafai kuongoza Taifa letu.Natamani 2015 ifike kesho huyu jamaa atoke mjengoni,Mkapa aliweza kurudisha heshima ya Taifa kwa kupunguza misaada.sijui unajiskiaje baba yako kila kukicha anaomba lift kwa jirani ,siku zote watoto mtajiskia mko chini ya familia ya mtoa lift.