Ndugu zangu hivi kikwete anajisikiaje anaposaidiwa na nchi wahisani?

Dumelambegu

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
1,052
257
Ni swali dogo tu lakini nilitaka kujua jinsi Dr. Kikwete (heshima-UDOM) anavyojisikia wakati wa hafla ya kutia saini makubaliano ya msaada wa fedha kwenye bajeti ya serikali.
 
Anafurahia kwani ahadi lukuki za uchaguzi inabidi awaze atatimiza vipi hivyo misaada inapokelewa kwa furaha, kuyafikia Maisha bora kwa kila mtanzania sio mchezo.. hata sidhani kama anakumbuka ahadi zote alizokuwa anatoa, ujue hiki ni kipindi chake cha mwisho hata asipotimiza hana wa kumuuliza....mwache apokee misaada tuona anatimiza ahadi zipi...
 
NO wonder omba omba wapo wengi nchini,mtu amevaa vizuri anapita mjini akipiga watu mizinga ya buku mbilie etc,kwani Raisi ameanza first terma kwa kuomba misaada dunia nzima ,na anamalizia term yake kwa kuomba misaada dunia nzima.

As a result wananchi tuonaona kuomba na kupokea misaada ni jambo poa na unapokea huku ukismile, tuisichojua ni kuwa unapo pokea misaada anayefaidika ni mtoaji na siyo mpokeaji.
this formula ipo ktk biblia ,na ipo hata ktk dini za budhism za india ambazo zilikuwepo kabla ya 5000 years.

Back to my point, Raisi anayefurahia misaada Hafai kuongoza Taifa letu.Natamani 2015 ifike kesho huyu jamaa atoke mjengoni,Mkapa aliweza kurudisha heshima ya Taifa kwa kupunguza misaada.sijui unajiskiaje baba yako kila kukicha anaomba lift kwa jirani ,siku zote watoto mtajiskia mko chini ya familia ya mtoa lift.
 
:A S 103: 2015 ni MWIHO wa Kuwa Taifa la OMBA OMBA,
Tafadhali Chukua hatua Sahihi kuhakikisha tuna taifa la kujitegemea kama ilivyo kuwa kauli ya mwalimu nyerere ya SIASA ZA UJAMAA NA KUJITEMGEA
kwa sasa tuna siHasa za uswahiba na kuomba omba
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom