proxy
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 1,481
- 1,356
Kuna mjomba angu alikua anasoma Masters of ICT kwa research.Jana ameniambia kwamba proposal yake haipo innovative ( haona mchango mkubwa kwenye jamii) so inatakiwa abadilishe Title na kuanza kutiririka tena ,wazee wa haya mambo wanajua ninachomaanisha.
Amekuja kwangu nimshsuri achukue title gani lakini nimeshindwa kabisa kumshauri kwa namna ambavyo anaweza kumaliza hii kitu. Naamini humu kuna wazee wabobezi wa hizi mambo ebo tumshauri dogo title ipi angeweza piga ili aweze maliza shule?