Makamee
JF-Expert Member
- Nov 29, 2013
- 2,029
- 1,201
Nafahamu utendaji kazi wako usio tia shaka"
1.Mwaka 2000-2010 umewatumikia Wazanzibar ktk Nafasi ya Waziri Kiongozi kwa miaka 10,sikuona kosa lako.
2.Mwaka 2010-hadi May 2012 umewatumikia Watanzania ktk Wizara ya mambo ya ndani, sikuona kosa lako.ulikubalika kwa utendaji na kila muhusika ktk wizara hiyo aliona umuhimu wako,kuanzia askari wa vyeo vya chini hadi wale wa juu wapenda haki.
Hata wafungwa na mahabusu magerezani walikukubali sana ufuatiliaji wako ulipokua waziri. Sikuona kosa lako.
3.Mwaka 2012 hadi jana Dec 2013 umewatumikia Watanzania ktk wizara nyeti ya ULINZI, sijaona kosa lako.
Umejitahidi kusimamia wizara hii kiutendaji,jeshi letu limezidi kuimarika,askari wanapata stahili zao,hakuna malalamiko tunayoyasikia kuhusu utendaji wako ndani ya jeshi na wizara ya ulinzi kiujumla.
Binafsi sijaona kosa lako.
4.Nafasi ulizowahi kushika ni nyeti sana ktk Taifa hili zote umezimudu vyema kulingana weledi wako ktk siasa. Sijaona kosa lako.
Hoja yangu vipi usombwe na fagio hili TOKOMEZA UJANGILI wewe kama waziri wa ulinzi?
Nimesoma repoti yote ya kamati ya bunge sikuona ambapo unapaswa kuwajibika ama kuajibishwa kama waziri wa ulinzi.
Kama kusombwa kwako kunatokana na ushiriki wa JWTZ ktk operation hiyo,mbona sijaona kipengele ambacho askari wa Jwtz wamehusishwa ktk unyama unaodaiwa kufanywa na washiriki wa operation hiyo?
Kamati ya bunge wamewapa sifa jwtz kwa kua mahiri na kuendesha operation ktk hali ya umakini.
Vipi uwajibishwe kama waziri. SIJAONA KOSA LAKO.
My take- Wadau najua ktk msafara wa mamba na Kenge pia wamo lakini ktk hili ndugu yangu Nahodha hakustahili kuajibishwa.