Ndugu yangu SHAMSI NAHODHA nini Kimekuponza?

Ndugu yangu SHAMSI NAHODHA nini Kimekuponza?

Mrudisheni nyumbani huyu nahodha haraka sana, alijisahau na kutukebehi Waznz tunapodai madai yetu Waznz.

Pingamizi la madai ya kupata Zanzibar huru si Nahodha tatizo mfumo.
Hata Tanganyika wanadai Tanganyika yao.
 
Back
Top Bottom