Sawa ndugu asante na jee vipi sekta nyingine hawatogusa,Tunaanza kuajiri walimu na madaktari kwanza
Mwambie aanzie TISS kwanza baadaye atafika huko anakupenda kufanyia kazi. Sasa hivi siyo rahisi kwenda kule direct bila kuanzia hapo juu.Habarini ndug,ninaomba msaada jins ya kumsaidia ndug yangu huyu kupata au kuwa na kazi tra.nina ndugu yangu ambae ni kama mdg wangu ambaye ni mtoto wa baba mkubwa amesomea mambo ya uhasibu kule arusha.jana nilipokutana nae ameniambia anatamani kufanya kazi tra.
kiukweli matokeo yake ni mazuri sana kwa sabbu amedai ana gpa kubwa ya 4.5 na amesema anaipenda sana hiyo kaz.hivyo tukiwa naomba mumsaidie aipate hiyo kazi kama kuna watu wa kuajiri humu. Nina imani hata kwa gpa yake ilivyo nzuri ataipata
Asanteni.
Sawa nimekuelewa ila unavyosema utumishi unamaanisha nin? au huwa zinaombwa kupitia utumishi?yaani majina yanafika vipi utumishimDah sijui niandike vp Kama wewe n msom walau wa darasa la 12 basi nadhan unajua TRA ni taasisi ya umma Kama n hvyo kazi zote zinatangazwa utumishi ndio wenye jukumu la ajira za umma
Sasa mkuu unahtaji msaada upi utupe rushwa ili tumuweke kijana wako mwambie awe anacheck utumish Kama Kuna kaz ya tra inayoendana naye aombe
ILA AJUE TATIZO LA AJIRA N KUBWA MPE MTAJI AJIAJIRI ILI AJE AAJIRI NA WENGINE
TISS ndio nini nduguMwambie aanzie TISS kwanza baadaye atafika huko anakupenda kufanyia kazi. Sasa hivi siyo rahisi kwenda kule direct bila kuanzia hapo juu.
tiss ndio nini ndgMwambie aanzie TISS kwanza baadaye atafika huko anakupenda kufanyia kazi. Sasa hivi siyo rahisi kwenda kule direct bila kuanzia hapo juu.
Usalama wa Taifatiss ndio nini ndg
Duuh ataingia vipi huko mkuu, kama unaweza kunisadiaUsalama wa Taifa
Aende longroom ashike bango kuwa anaomba jobHabarini ndug,ninaomba msaada jins ya kumsaidia ndug yangu huyu kupata au kuwa na kazi tra.nina ndugu yangu ambae ni kama mdg wangu ambaye ni mtoto wa baba mkubwa amesomea mambo ya uhasibu kule arusha.jana nilipokutana nae ameniambia anatamani kufanya kazi tra.
kiukweli matokeo yake ni mazuri sana kwa sabbu amedai ana gpa kubwa ya 4.5 na amesema anaipenda sana hiyo kaz.hivyo tukiwa naomba mumsaidie aipate hiyo kazi kama kuna watu wa kuajiri humu. Nina imani hata kwa gpa yake ilivyo nzuri ataipata
Asanteni.
Sawa nimekuelewa ila unavyosema utumishi unamaanisha nin? au huwa zinaombwa kupitia utumishi?yaani majina yanafika vipi utumishim
Tunaanza kuajiri walimu na madaktari kwanza
Acha kumdanganya mwenzio hiyo kazi kwa sasa ni sawa na usalama wa .........Ana shs.ngapi kwani aingizwe hata kesho bila hata intavyauu?
kivipi ndugu sijaeleewa .Ana shs.ngapi kwani aingizwe hata kesho bila hata intavyuu?
Samhani ndio Wapi HukoAende longroom ashike bango kua anaomba job
Nimejaribu Nimeshindwa Ndugu Ndio Unafanyaje?Bonyeza *150*09# halafu andika neno TRA KAZI YANGU MWENYEWE then fuata maelekezo mkuu.