Ndugu yangu anataka kazi TRA

Naomba Msaada Ndugu Afanyaje.
akajitolee TRA bila malipo itamsaidia yeye kuwa recruited kirahisi endapo job opportunity zikitokea...ila ajitahidi akajitolee TRA za mikoa ambayo haijakomaa kibiashara hizi za dar,arusha,mwanza, na mikoa mingine bila ndumba na connection kubwa hatoboi...
 
Ana uwezo wa kuzalisha nini kutoka na GPA yake? Mfano 'carpenter' anaweza kututengenezea 'furniture',fundi magari anaweza kututengenezea gari likatembea, daktari wa moyo anaweza kumtibu mgonjwa wa moyo akapona, 'Software developer' anaweza kututengenezea 'software' kutokana na uitaji wetu.
 
Sawa Asante Ndugu.Vipi hizo ndumba zinakuwa Vipi?
 
Ana uwezo wa kuzalisha nini kutoka na GPA yake? Mfano 'carpenter' anaweza kututengenezea 'furniture',fundi magari anaweza kututengenezea gari likatembea, daktari wa moyo anaweza kumtibu mgonjwa wa moyo akapona, 'Software developer' anaweza kututengenezea 'software' kutokana na uitaji wetu.
Alichoomba Yeyw ni Kazi Ndugu
 
Karibu kila mhitimu ana ndoto ya kuajiriwa TRA,

Waghitimu wengi sana wapo mtaani huku wakiendelea kuomba kazi.

Enzi za kusoma sana ili uwe na uhajika wa juajiriwa sehen flani zimepita, siku hizi ajira ni bahati, connections, n.k.

Hapo TRA kujitolea tu kupata uzoefu ni ishu sana.

Namshauri ajiajiri huku anaendelea kutafuta ajira.
 
Asante kwa taarifa Ndugu
 
Huyo ndugu yako na wewe mmeshindwa kujua mfumo wa kuaniri wa serikali ukoje? GPA kubwa akili hamna
 
Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom