Ndugu yangu anataka kazi TRA

elyamuia

Senior Member
Aug 21, 2020
116
225
Habarini ndugu, ninaomba msaada jinsi ya kumsaidia ndugu yangu huyu kupata au kuwa na kazi TRA. Nina ndugu yangu ambae ni kama mdg wangu ambaye ni mtoto wa baba mkubwa amesomea mambo ya uhasibu kule Arusha. Jana nilipokutana nae ameniambia anatamani kufanya kazi TRA.

Kiukweli matokeo yake ni mazuri sana kwa sababu amedai ana GPA kubwa ya 4.5 na amesema anaipenda sana hiyo kazi. Hivyo tukiwa naomba mumsaidie aipate hiyo kazi kama kuna watu wa kuajiri humu. Nina imani hata kwa gpa yake ilivyo nzuri ataipata

Asanteni.
 
Peramiho yetu

JF-Expert Member
May 25, 2018
2,467
2,000
Dah sijui niandike vp Kama wewe n msom walau wa darasa la 12 basi nadhan unajua TRA ni taasisi ya umma Kama n hvyo kazi zote zinatangazwa utumishi ndio wenye jukumu la ajira za umma

Sasa mkuu unahtaji msaada upi utupe rushwa ili tumuweke kijana wako mwambie awe anacheck utumish Kama Kuna kaz ya tra inayoendana naye aombe

ILA AJUE TATIZO LA AJIRA N KUBWA MPE MTAJI AJIAJIRI ILI AJE AAJIRI NA WENGINE
 
Ngararimu

JF-Expert Member
Nov 30, 2011
286
500
Habarini ndug,ninaomba msaada jins ya kumsaidia ndug yangu huyu kupata au kuwa na kazi tra.nina ndugu yangu ambae ni kama mdg wangu ambaye ni mtoto wa baba mkubwa amesomea mambo ya uhasibu kule arusha.jana nilipokutana nae ameniambia anatamani kufanya kazi tra.

kiukweli matokeo yake ni mazuri sana kwa sabbu amedai ana gpa kubwa ya 4.5 na amesema anaipenda sana hiyo kaz.hivyo tukiwa naomba mumsaidie aipate hiyo kazi kama kuna watu wa kuajiri humu. Nina imani hata kwa gpa yake ilivyo nzuri ataipata

Asanteni.
Mwambie aanzie TISS kwanza baadaye atafika huko anakupenda kufanyia kazi. Sasa hivi siyo rahisi kwenda kule direct bila kuanzia hapo juu.
 
elyamuia

Senior Member
Aug 21, 2020
116
225
Dah sijui niandike vp Kama wewe n msom walau wa darasa la 12 basi nadhan unajua TRA ni taasisi ya umma Kama n hvyo kazi zote zinatangazwa utumishi ndio wenye jukumu la ajira za umma

Sasa mkuu unahtaji msaada upi utupe rushwa ili tumuweke kijana wako mwambie awe anacheck utumish Kama Kuna kaz ya tra inayoendana naye aombe

ILA AJUE TATIZO LA AJIRA N KUBWA MPE MTAJI AJIAJIRI ILI AJE AAJIRI NA WENGINE
Sawa nimekuelewa ila unavyosema utumishi unamaanisha nin? au huwa zinaombwa kupitia utumishi?yaani majina yanafika vipi utumishim
 
tweenty4seven

JF-Expert Member
Sep 21, 2013
12,740
2,000
Habarini ndug,ninaomba msaada jins ya kumsaidia ndug yangu huyu kupata au kuwa na kazi tra.nina ndugu yangu ambae ni kama mdg wangu ambaye ni mtoto wa baba mkubwa amesomea mambo ya uhasibu kule arusha.jana nilipokutana nae ameniambia anatamani kufanya kazi tra.

kiukweli matokeo yake ni mazuri sana kwa sabbu amedai ana gpa kubwa ya 4.5 na amesema anaipenda sana hiyo kaz.hivyo tukiwa naomba mumsaidie aipate hiyo kazi kama kuna watu wa kuajiri humu. Nina imani hata kwa gpa yake ilivyo nzuri ataipata

Asanteni.
Aende longroom ashike bango kuwa anaomba job
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom