Ndugu yangu anataka kazi TRA

Habarini ndug,ninaomba msaada jins ya kumsaidia ndug yangu huyu kupata au kuwa na kazi tra.nina ndugu yangu ambae ni kama mdg wangu ambaye ni mtoto wa baba mkubwa amesomea mambo ya uhasibu kule arusha.jana nilipokutana nae ameniambia anatamani kufanya kazi tra.

kiukweli matokeo yake ni mazuri sana kwa sabbu amedai ana gpa kubwa ya 4.5 na amesema anaipenda sana hiyo kaz.hivyo tukiwa naomba mumsaidie aipate hiyo kazi kama kuna watu wa kuajiri humu. Nina imani hata kwa gpa yake ilivyo nzuri ataipata

Asanteni.
Nyie ndo mnatengeneza mazingira ya kuibiwa.
 
Habarini ndugu, ninaomba msaada jinsi ya kumsaidia ndugu yangu huyu kupata au kuwa na kazi TRA. Nina ndugu yangu ambae ni kama mdg wangu ambaye ni mtoto wa baba mkubwa amesomea mambo ya uhasibu kule Arusha. Jana nilipokutana nae ameniambia anatamani kufanya kazi TRA.

Kiukweli matokeo yake ni mazuri sana kwa sababu amedai ana GPA kubwa ya 4.5 na amesema anaipenda sana hiyo kazi. Hivyo tukiwa naomba mumsaidie aipate hiyo kazi kama kuna watu wa kuajiri humu. Nina imani hata kwa gpa yake ilivyo nzuri ataipata

Asanteni.
Zamani ndio tulikuwa tunachagua ufanye kazi wapi,siku hizi kila kijana anataka afanye kazi TRA,Bandari,jeshini,TISS,Bungeni,TBC,Vodacom,Tigo,TBL,kwahiyo usitegemee watu wamsaidie nduguyo kirahisi hivyo,unaowaomba wanataka pia,watu Wana masters za BBA,na wanataka japo kazi ya benk teller,we unawaomba wamsaidie nduguyo kupata kazi TRA?
Ni mremavu?ana kipi Cha upekee?
 
Mkuu kama GPA iko vizuri aombe tu kuwa TAX consultant au atafute CPA(T) ni kama kufanya tu kazi TRA.Ni ushauri tu pa kuanzia mpaka ahapo TRA watakapomuhitaji.
 
Kwanza mwambie afute hiyo 4.5 GPA na TRA akilini mwake na afocus kuwa best katika real life. Will thank me later
 
Zamani ndio tulikuwa tunachagua ufanye kazi wapi,siku hizi kila kijana anataka afanye kazi TRA,Bandari,jeshini,TISS,Bungeni,TBC,Vodacom,Tigo,TBL,kwahiyo usitegemee watu wamsaidie nduguyo kirahisi hivyo,unaowaomba wanataka pia,watu Wana masters za BBA,na wanataka japo kazi ya benk teller,we unawaomba wamsaidie nduguyo kupata kazi TRA?
Ni mremavu?ana kipi Cha upekee?
PIa GPA Yake ni Nzuri.Ana uwezo Mkubwa Wa Mahesabu Kwa Sababu Pia Amesomea Pia Chuo Cha Uhasibu.
Pia cv Yake ya Masomo ni Nzuri sana Tangu Kidato Cha Nne.Asante Kwa Msaada
 
Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom