Synthesizer
JF-Expert Member
- Feb 15, 2010
- 11,150
- 18,809
Kama kasema ukifilisika ni shauri yako hatakudai.... kwanini akulazimishe uache kazi? Kama kaamua kukupa mtaji si akuache upange unavyoona inafaa???Mara nyingi nimetetea uraia pacha ili wana Diaspora wapewe nafasi za kuwekeza nchini. Sababu kubwa ya kufanya hivyo ni kwamba nina ndugu yangu huko nje alichukua uraia wa huko, na sasa anasema inakuwa vigumu kuwekeza Tanzania kwa kuwa yeye sio raia tena wa Tanzania.
Sasa juzi hapa kanishauri niachane na kazi za kuajiriwa (mshahara wangu ni kama Tshs 1.5m kwa kwenzi). Ananiambia yuko tayari kunipa mtaji wa Tshs 200m kwa shart moja tu, niachane na kazi ya kuajiriwa ili nijikite kwenye kuzitumia hizo Tshs 200m zizalishe. Kaniambia hatanipangia cha kufanya, ni juu yangu, na kwamba kama nikizipoteza pia ni juu yangu, wala hatanidai. Ila hataki anipe hizo hela huku naendelea na kazi ya kuajiriwa.
Naombeni ushauri - kwanza kama ni wazo zuri mie kuacha kazi kwa hiyo Tshs 200m, na kama ndivyo nikiacha kazi nizitumie kwenye biashara gani? Nikiacha kazi, nina mafao yangu ya kama Tshs 70m, kwa hiyo nitakuwa na jumla ya kama Tshs 270m, lakini bado sielewi nifanye shughuli gani. Kilimo? Daladala? Nyumba? Biashara ya mazao? Niziweke tu benki niwe nachukua interest? Au niendelee tu na kazi yangu ya kuajiriwa yenye uhakika wa mshahara kila mwezi?
Mkuu muamala ni wa ukahika kabisa. Hapo hakuna hofu yeyote.Subiri kwanza muamala wa 200M usome mkuu. Usiache kazi kabla ya kazi
Anasema eti nikiendelea kufanya kazi sintakuwa committed na jambo nitakaloanzisha, kwa kuwa always ninakuwa najua hata nikivurunda bado nina kazi yangu. Anasema lazima nitambue factor ya risk - kwamba nikizifuja sina cha kusimamia, na sina kazi tena, ndio maana anasema nikifilisika ni shauri yanguKama kasema ukifilisika ni shauri yako hatakudai.... kwanini akulazimishe uache kazi? Kama kaamua kukupa mtaji si akuache upange unavyoona inafaa???
Nina mashaka na huo msaada
Mkuu, sijawahi kufanya hata biashara ya juice au ice cream. Toka nimalize chuo mie mtu wa kuajiriwa tu!Basi kama uhakika acha, 200M pesa nzuri sana kama una background ya uwekezaji na biashara ila kama huna cheza kwa step ukikosea utafurahi mwenyewe
Bujibuji acha mzaha, this is serious, nategemea hekima zako!π1. Acha kazi
2. Chukua mil 200
3. Nitafute nikupeleke kwa pisi Kali na viwanja high class.
4. Hela ikikata, tafuta kazi tena
Chukua hiyo hela alafu weka kwamza fixed deposit huku ukiwaza nini chakufanyaMara nyingi nimetetea uraia pacha ili wana Diaspora wapewe nafasi za kuwekeza nchini. Sababu kubwa ya kufanya hivyo ni kwamba nina ndugu yangu huko nje alichukua uraia wa huko, na sasa anasema inakuwa vigumu kuwekeza Tanzania kwa kuwa yeye sio raia tena wa Tanzania.
Sasa juzi hapa kanishauri niachane na kazi za kuajiriwa (mshahara wangu ni kama Tshs 1.5m kwa kwenzi). Ananiambia yuko tayari kunipa mtaji wa Tshs 200m kwa shart moja tu, niachane na kazi ya kuajiriwa ili nijikite kwenye kuzitumia hizo Tshs 200m zizalishe. Kaniambia hatanipangia cha kufanya, ni juu yangu, na kwamba kama nikizipoteza pia ni juu yangu, wala hatanidai. Ila hataki anipe hizo hela huku naendelea na kazi ya kuajiriwa.
Naombeni ushauri - kwanza kama ni wazo zuri mie kuacha kazi kwa hiyo Tshs 200m, na kama ndivyo nikiacha kazi nizitumie kwenye biashara gani? Nikiacha kazi, nina mafao yangu ya kama Tshs 70m, kwa hiyo nitakuwa na jumla ya kama Tshs 270m, lakini bado sielewi nifanye shughuli gani. Kilimo? Daladala? Nyumba? Biashara ya mazao? Niziweke tu benki niwe nachukua interest? Au niendelee tu na kazi yangu ya kuajiriwa yenye uhakika wa mshahara kila mwezi?
Kwa ufupi,nduguyo anataka akupe kiinua mgongo na mtaji kidogo kwa hiyo 200 milioni.Tulia.Piga hesabu.Tafakari biashara endelevu ya kufanya.Hiyari yashinda utumwa.Mara nyingi nimetetea uraia pacha ili wana Diaspora wapewe nafasi za kuwekeza nchini. Sababu kubwa ya kufanya hivyo ni kwamba nina ndugu yangu huko nje alichukua uraia wa huko, na sasa anasema inakuwa vigumu kuwekeza Tanzania kwa kuwa yeye sio raia tena wa Tanzania.
Sasa juzi hapa kanishauri niachane na kazi za kuajiriwa (mshahara wangu ni kama Tshs 1.5m kwa kwenzi). Ananiambia yuko tayari kunipa mtaji wa Tshs 200m kwa shart moja tu, niachane na kazi ya kuajiriwa ili nijikite kwenye kuzitumia hizo Tshs 200m zizalishe. Kaniambia hatanipangia cha kufanya, ni juu yangu, na kwamba kama nikizipoteza pia ni juu yangu, wala hatanidai. Ila hataki anipe hizo hela huku naendelea na kazi ya kuajiriwa.
Naombeni ushauri - kwanza kama ni wazo zuri mie kuacha kazi kwa hiyo Tshs 200m, na kama ndivyo nikiacha kazi nizitumie kwenye biashara gani? Nikiacha kazi, nina mafao yangu ya kama Tshs 70m, kwa hiyo nitakuwa na jumla ya kama Tshs 270m, lakini bado sielewi nifanye shughuli gani. Kilimo? Daladala? Nyumba? Biashara ya mazao? Niziweke tu benki niwe nachukua interest? Au niendelee tu na kazi yangu ya kuajiriwa yenye uhakika wa mshahara kila mwezi?
Na hizo hela anakutumia baada ya kuacha kazi au kabla hujaacha kazi?Anasema eti nikiendelea kufanya kazi sintakuwa committed na jambo nitakaloanzisha, kwa kuwa always ninakuwa najua hata nikivurunda bado nina kazi yangu. Anasema lazima nitambue factor ya risk - kwamba nikizifuja sina cha kusimamia, na sina kazi tena, ndio maana anasema nikifilisika ni shauri yangu
I say, kila mtu anasema hivyo, maana nilifikiria kulima viazi mviringo jamaa wanasema kuna watu wamefilisika wanunuaji wa ujumla wanajipangia bei wanavyotaka na serikali wala haiingilii!Chukua mzigo huo mkuu 200M, ila usiende weka kwenye kilimo.. narudia usiende weka kwenye kilimo hasa cha mvua ππ
Okay. Ila ufahamu wa Bitcoins ndio sina kabisa. Ngoja nifanyie research nijieleweshe zaidi. Tanzania inaruhusu?Hiyo milioni 200 Nunua bitcoins halafu endelea kupiga kazi mwisho wa mwaka unaweza ukawa na bilioni 1 au milioni 200π
Hiyo milioni 200 Nunua bitcoins halafu endelea kupiga kazi mwisho wa mwaka unaweza ukawa na bilioni 1 au milioni 200
Biashara NAYO ni kazi. 200 ml ni mtaji wa maana kabisa unaoweza kubadilisha maisha ya familia yako completely.Bujibuji acha mzaha, this is serious, nategemea hekima zako!π
By the way, wife anapinga kabisa suala la kuacha kazi!