rafikimkweli
JF-Expert Member
- Sep 5, 2013
- 349
- 121
damu nzitoNi kusitisha huduma, baada ya muda atajirudi tu......
damu nzito
Unafanya hivyo kwa muda baadae unajikuta unafanya yale yale...miaka nenda rudi, umri unakwenda hashtuki..uji mzito zaidi,hapo ni kukatisha huduma mpaka anyooke
26 collegeUmri wake,na elimu yake tafadhali.
Naomba mnisamehe kama nitakua nimemkwaza mtu; ni katika kusaidiana na kupeana muongozo.
Nini dawa ya ndugu wavivu...
Unamtafutia ajira, anaacha baada ya muda visingizio haviishi...
Kujiajiri hataki...
Shule hataki....
Ila pesa lazima umpe na usipotoa ni lawama zisizo na mwisho....
Narudia tena kuomba samahani....asanteni kwa mchango wenu..

Nina ndugu wa aina hii hataki kufanya lolote, ndoto yake yeye aletewe Coaster tu utafikiri huku nilipo naziokota vile.
Acha ndugu ni maswahibu hayo...unapokea laana mfululizo mkuu, at times unashindwa hata kuconcetrate kwenye mambo mengine kutokana na family affairs...ndio mambo ya familia zetu za kiafrika..Ukikata huduma,wazazi wanakuwa upande wake kwamba unamtenga dogo,dawa yake ni hiyo kukata huduma na shikilia msimsmo wako.
Du yaani first born wetu
ndo kama huyu unayemuelezea kabisa ..huwa tunasema bora hata angekuwa
ni last born tungesema abda utoto au uziwanda unamsumbua....kila kazi
yeye ni kulalamika..alivyo na bahati hajasoma but anapata za
kuunganishiwa..sisi wenye madegree hatuthubutu kuchezea kazi...si
tunasemaga au ana kalaana kanachohitaji maombi?
Mkuu Ana elimu na umri Huo hataki kazi?26 college