Hii falsafa ndo ipi mkuu? 'Live and let live' Naomba ufafanuziNaam, kuishi kivyako ndo kwenyewe.
Laiti watu wengi wangekuwa na falsafa kama yangu ya 'live and let live', basi mitafaruku ingekuwa michache sana hapa duniani.
Bahati mbaya uhalisia wa maisha hauko hivyo!
unamtafutia kazi ataki ila hela anataka wakati kuna watu wengi wanashida ya kazi kweli kwenye miti hakuna wajenzi aise duuuuNdugu wengi sana mimi nimewapotezea....
Nna ndugu yangu mmoja huyo sasa hivi kutwa ananiomba hela
nikimtafutia kazi anaanza kusema subiri kwanza sijui nini
ila hela kuomba haachi
ndugu mzigo
unamtafutia kazi ataki ila hela anataka wakati kuna watu wengi wanashida ya kazi kweli kwenye miti hakuna wajenzi aise duuuu
kiongozi kazi yeyote ili mradi unapata ridhiki yako ya kila siku ndiyo maana tunasema husimpe mtu samaki mfundishe jinsi ya kuwavua samakiNdo ilivyo
kuna watu wanatafuta kazi ya udereva kwa udi na uvumba
wengine wakiipata hawaitaki
Wanaona ni haki yao kupata huo msaada mkuuHivi na nyie wengine mnao ndugu wasio na shukrani?
Ndugu ambao hukukumbuka wakati wa shida zao tu?
Huwa mnakabiliana nao vipi watu wa aina hiyo?
Mimi wananikera sana kwa kweli.
Mtu anakuja na kukulilia shida zake lukuki, nawe kwa moyo mweupe kabisa unamsaidia.
Tena unamsaidia kwa kwenda mbali zaidi ya kile alichokiomba.
Cha ajabu [ingawa si ajabu kivile] ukishamsaidia tu, mwenzio anapotea.
Anapotea bila hata kutoa 'ahsante' ya msaada uliomsaidia.
Na akishapotea ndo imetoka hiyo. Kuja kusikia tena toka kwake labda ni awe na shida au kwenye msiba.
Hata salamu tu ya kujuliana hali toka kwake inakuwa tunu.
Naamini katika kutenda wema na kwenda zangu lakini pia sipendi mambo ya kufanyanya wapumb.avu.
Yaani kuniona nakufaa tu wakati wa shida zako. Ukiwa huna shida hata simu zangu hupokei.
Hovyo kabisa hao.....
Xhamba ndo nini?True that, ndugu wengine wanapenda kugeuzana xhamba la bibi, huo sio uungwana, tubadilike watz
True that, ndugu wengine wanapenda kugeuzana xhamba la bibi, huo sio uungwana, tubadilike watz
Wewe nae huna dogo....Kama wewe ulivyosepa kuleeeee au vipi?
Umenifanya nimekonda mwenzio.Wewe nae huna dogo....
Etii??Umenifanya nimekonda mwenzio.
Dena unjua kabisa mwenzio hali yangu,wa kunitibu ni wewe tu niliokuchagua,Mungu hapendi kiumbe wake kuteseka wakati dawa ipo.Etii??
kuna mmoja huyo akikupigia simu leo kesho ni kibom
Man..I can't stand fair-weather relatives.
They get on my last nerves for real.
Kaka mkubwa Nyani Ngabu hali inayokukuta haina tofauti Na mie....!! Nilichoamua nikupoteza sina issue Na msaada nimekuwa ambae sina kitu...!!
Hawa ndugu waliniacha hoi siku nilipo wajibu kwamba sina, eti wakanuna.
Hapo ni baada ya kua nimewasaidia kwa miaka mingi, pamoja na kuwajengea nyumba na kuwasomeshea watoto wao.
Niliwachoka pale nilipo wapa vimiradi, then wakaviua[emoji16] [emoji16]
They are so annoying, they only show up when they need something! They get into my nerves too.Man..I can't stand fair-weather relatives.
They get on my last nerves for real.
Wengine wanaanza kumchukia my wife wako kwamba ndiye anayezuia. Hapo ulisha wasaidia to the maximum, ukiwaambia wakuache nawe ujiweke sawa wanaanza majungu mbaya mbofu.Wengine ukiwaambia huna wanaanza kukusema eti uko mchoyo.
Wahshi kabisa.