Te Lavista
JF-Expert Member
- Mar 12, 2017
- 1,626
- 2,843
- Thread starter
- #61
Achana naewatu kama nyinyi huwa hamkosi kila pahala! wakosoaji! ila nnachojua umemuelewa ila ulitaka tu kutujazia server
Achana naewatu kama nyinyi huwa hamkosi kila pahala! wakosoaji! ila nnachojua umemuelewa ila ulitaka tu kutujazia server
Mbna wacheka
Nilijua mwenzangu una maisha mazuri kumbe hata degree huna.Mbna wacheka
Nilijua mwenzangu una maisha mazuri kumbe hata degree huna.
Nani ameanza,endelea kutafuta kazi.Unacho kifanya ni "Maiti kumcheka aliye oza."
Mkuu umeandika vizuri sana sana... Pongezi kwakoNilicheki jana ulivyokua unamtusi ONTARIO , kwa kifupi amesaidia wengi wengine walikua hawana hata kazi akawapa kitengo pale mjengoni kwake!
Nakumbuka kuna thread ya interveiw yake kuna kijana alimuomba kazi kwenye ule ule uzi na muda huo huo jamaa akamuita kazini, kuna lawyer alimuomba kazi jamaa akamtafutia kitengo!! na kuna mwingine alipewa mafunzo ya forex free of charge baada ya kuanzisha uzi wa kumuomba msaada!!
Now you can see huyu uliyekua unamponda jana leo wenda angekupa kazi na mshahara mnono kabisa tena bila longo longo!!
Kilichonishangaza ni kwamba kumbe na wewe ni kama akina nanii alafu badala ya kujifunza kwa walio fanikiwa unatumia muda mwingi kuwa kashifu na kutamani wawe kama wewe!!
Ni vyema tuka badilika maana unayemtusi leo kesho ndiye anaweza kuwa msaada wako!!
Kila la heri mkuu!!
Mkuu umeandika vizuri sana sana... Pongezi kwako
Wazo zuri... Kuna usemi " Cha kwako ndio kina kusaidia "Mkuu kama unaomba hadi kuwa barmaid basi ni kwamba upo serious sana ,. Sasa mimi nakushauri uza hiyo smartphone jumua mahindi mabichi uanze biashara ya kuchoma mahindi, jumua mihogo uichome kwa mkaa kidogo tu .
Nadhani hii simu hata ww nikikuuzia kwa buku kumi hutainunua..Wazo zuri... Kuna usemi " Cha kwako ndio kina kusaidia "
HEHEE HATA NINGEKUWA NAYO NISINGEKUPATIA MAANA HATA OFISINI UNAUONYESHA USINGEKUWA SERIOUS ....................... KM UNAWEZA SALES SEE ME INBOX INA ANAHITAJIKA MTU SERIOUS NA KAZI MAANA BOSS MWENYEWE ANAKIMBIA HATEMBEI KWA EMOJ HIZI HUTAWEZA
mkuu kuna kazi ya KILIMO cha jembe la mkono utaweza??? Tanga na huku Kisarawe njoo tulime mpunga, mahindi na maharage na kitunguu achana na mambo ya huku mtandaoni utapasuka kichwa...KILIMO KWANZA ila jiandae mikono kuota sugu sio lelemama ila pesa ipo, KARIBU..Jamani msaada wenu mkuu..
NIPO Magharibi mwa Tz kanda ya ziwa..mkuu kuna kazi ya KILIMO cha jembe la mkono utaweza??? Tanga na huku Kisarawe njoo tulime mpunga, mahindi na maharage na kitunguu achana na mambo ya huku mtandaoni utapasuka kichwa...KILIMO KWANZA ila jiandae mikono kuota sugu sio lelemama ila pesa ipo, KARIBU..
Lol sawa...NIPO Magharibi mwa Tz kanda ya ziwa..
Sasa na wewe Mulhat mbona haueleweki.. unasema ungekuwa nayo usingempatia hapo hapo unamuita ya sales.HEHEE HATA NINGEKUWA NAYO NISINGEKUPATIA MAANA HATA OFISINI UNAUONYESHA USINGEKUWA SERIOUS ....................... KM UNAWEZA SALES SEE ME INBOX INA ANAHITAJIKA MTU SERIOUS NA KAZI MAANA BOSS MWENYEWE ANAKIMBIA HATEMBEI KWA EMOJ HIZI HUTAWEZA