Looking for Internship

Raja Tz

Member
Dec 21, 2023
19
16
Wakuu habari za kazi, poleni na hili jua linalotukaanga vya kutosha, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25 na Elimu ya Bachelor of Science in Forestry nimemaliza mwaka 2022 SUA.

Naomba mtu yeyote anaeweza nisaidia kupata internship au kazi kabisa anisaidie maana life kiukwel ni tight sana mtaan.

Nipo Dodoma kwa sasa. Yeyote mwenye msaada nitamfata PM, Asante.

Namba yangu 0683877594/0674100729
 
Back
Top Bottom