Vocational Teacher II (Carpentry and Joinery)

Brightly

JF-Expert Member
Apr 28, 2022
261
353
Habarii wanaJF

Nilikuwa naomba msaada kwa yeyote ambaye alishawahii kufanya practical interview utumishi, wanaletaga practical ya namna gani maake sijawahii kufanya interview yeyote utumishi ndio nimeitwa kwa mara ya kwanza.
 
Kaka vipi hii ilikuaje practical yao ulivyoenda?

Back
Top Bottom