Ndugu wanaJF kwa yeyote atakayeguswa naomba anisaidie katika hili...

Nilicheki jana ulivyokua unamtusi ONTARIO , kwa kifupi amesaidia wengi wengine walikua hawana hata kazi akawapa kitengo pale mjengoni kwake!

Nakumbuka kuna thread ya interveiw yake kuna kijana alimuomba kazi kwenye ule ule uzi na muda huo huo jamaa akamuita kazini, kuna lawyer alimuomba kazi jamaa akamtafutia kitengo!! na kuna mwingine alipewa mafunzo ya forex free of charge baada ya kuanzisha uzi wa kumuomba msaada!!

Now you can see huyu uliyekua unamponda jana leo wenda angekupa kazi na mshahara mnono kabisa tena bila longo longo!!

Kilichonishangaza ni kwamba kumbe na wewe ni kama akina nanii alafu badala ya kujifunza kwa walio fanikiwa unatumia muda mwingi kuwa kashifu na kutamani wawe kama wewe!!

Ni vyema tuka badilika maana unayemtusi leo kesho ndiye anaweza kuwa msaada wako!!

Kila la heri mkuu!!
Mkuu umeandika vizuri sana sana... Pongezi kwako
 
Mkuu kama unaomba hadi kuwa barmaid basi ni kwamba upo serious sana ,. Sasa mimi nakushauri uza hiyo smartphone jumua mahindi mabichi uanze biashara ya kuchoma mahindi, jumua mihogo uichome kwa mkaa kidogo tu .
Wazo zuri... Kuna usemi " Cha kwako ndio kina kusaidia "
 
Ukitoka bann nijurishe...
HEHEE HATA NINGEKUWA NAYO NISINGEKUPATIA MAANA HATA OFISINI UNAUONYESHA USINGEKUWA SERIOUS ....................... KM UNAWEZA SALES SEE ME INBOX INA ANAHITAJIKA MTU SERIOUS NA KAZI MAANA BOSS MWENYEWE ANAKIMBIA HATEMBEI KWA EMOJ HIZI HUTAWEZA
 
Jamani msaada wenu mkuu..
mkuu kuna kazi ya KILIMO cha jembe la mkono utaweza??? Tanga na huku Kisarawe njoo tulime mpunga, mahindi na maharage na kitunguu achana na mambo ya huku mtandaoni utapasuka kichwa...KILIMO KWANZA ila jiandae mikono kuota sugu sio lelemama ila pesa ipo, KARIBU..
 
NIPO Magharibi mwa Tz kanda ya ziwa..
 
HEHEE HATA NINGEKUWA NAYO NISINGEKUPATIA MAANA HATA OFISINI UNAUONYESHA USINGEKUWA SERIOUS ....................... KM UNAWEZA SALES SEE ME INBOX INA ANAHITAJIKA MTU SERIOUS NA KAZI MAANA BOSS MWENYEWE ANAKIMBIA HATEMBEI KWA EMOJ HIZI HUTAWEZA
Sasa na wewe Mulhat mbona haueleweki.. unasema ungekuwa nayo usingempatia hapo hapo unamuita ya sales.

Be serious kama unamsaidia mtu msaidie.
 
Similar Discussions

14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom