Ndugu wanaJF kwa yeyote atakayeguswa naomba anisaidie katika hili...

Nipatie ajira mkuu au nikope hizo hela samahani.
Nilicheki jana ulivyokua unamtusi ONTARIO , kwa kifupi amesaidia wengi wengine walikua hawana hata kazi akawapa kitengo pale mjengoni kwake!

Nakumbuka kuna thread ya interveiw yake kuna kijana alimuomba kazi kwenye ule ule uzi na muda huo huo jamaa akamuita kazini, kuna lawyer alimuomba kazi jamaa akamtafutia kitengo!! na kuna mwingine alipewa mafunzo ya forex free of charge baada ya kuanzisha uzi wa kumuomba msaada!!

Now you can see huyu uliyekua unamponda jana leo wenda angekupa kazi na mshahara mnono kabisa tena bila longo longo!!

Kilichonishangaza ni kwamba kumbe na wewe ni kama akina nanii alafu badala ya kujifunza kwa walio fanikiwa unatumia muda mwingi kuwa kashifu na kutamani wawe kama wewe!!

Ni vyema tuka badilika maana unayemtusi leo kesho ndiye anaweza kuwa msaada wako!!

Kila la heri mkuu!!
 
Nahitaji kazi ambayo ndani ya miezi mitatu au nne inipatie Laki tatu. Za mtaji .

Ila kama huna ajira ukanipatia laki tatu utakua umenisaidia zaid
Mkuu nakupa wazo ila usiwe na aibu hata kidogo tafuta hata elfu kumi uanze kuuza CD kwa kutembeza itakutoa hiyo
 
Its true.
Nilicheki jana ulivyokua unamtusi ONTARIO , kwa kifupi amesaidia wengi wengine walikua hawana hata kazi akawapa kitengo pale mjengoni kwake!

Nakumbuka kuna thread ya interveiw yake kuna kijana alimuomba kazi kwenye ule na muda huo huo jamaa akamuita kazini, kuna lawyer alimuomba kazi jamaa akamtafutia kitengo!! na kuna mwingine alipewa mafunzo ya forex free of charge baada ya kuanzisha uzi wa kumuomba msaada!!

Now you can see huyu uliyekua unamponda jana leo wenda angekupa kazi na mshahara mnono kabisa tena bila longo longo!!

Ni vyema tuka badilika maana unayemtusi leo kesho ndiye anaweza kuwa msaada wako!!

Kila la heri mkuu!!
 
Habari wapendwa..:):)

Mimi ni Kijana wa Kiume, nina miaka 21.
Napatikana Mkoani kanda ya kati.
Elimu yangu ni Kidato cha Nne and Some certificates from variois College.

Nipo hapa mbele yenu kutafuta Kazi/shughuli ya aina yoyote itakayo nipatia kipato kwa halali.

Nina Certificate ya Utalii & hotel management.
Certificate of Basic Computer Application from VETA.

Natafuta kazi kama hizi na nyinginezo.
-Kuuza duka.
-Hotelini au sehem za Utalii.
-Ulimzi kwenye Mashirika.
-Kua mlinzi wa nyumba yako (Getini)
-Kuwa mtunza bustani.
-Kazi stationery.
-Library za kukodisha CD.
-Reception nimesoma mambo ya front office kwenye hotel.
-Reservation hotelini.
-Muhudumu bar au hotelini.
-Na kazi zingine zozote ambazo ni halali..

Ndugu zangu wana Jf naombeni sana msaada wenu tafadhari. Vijana wengi tuko kwenye hali mbaya hasa upande wangu. Nimeshindwa kuendelea na Kidato cha 5 mwaka juzi ajili ya matatizo kadhaa ya familia (Baba Aliacha kuniendeleza)

Wakuu kama mtu yoyote atakua hana ajira ila ana uwezo, basi naomba mnisaidie TZS 300000/= (Laki tatu) Nifanye biashara fulani hapa ketu kuleta kwenye majiji makubwa. Tutaandikishiana kisha nitakulipa na Riba.

Nawaombeni sana dugu zangu

Aksanteni.

"Mungu ni mwema sana, One day atanishindia Amen":):)
Mimi Fbss,FO,hhk,FP.tour guide vyote nimesoma ila sitaki kuajiriwa njoo tuungane
 
Ungekaa vizuri na otario ungekuta ushapata kazi pale mjengoni, muda huu ungekua unapulizwa na ac huku unachangia jf!!

Nilimuona kwenye uzi wa Ontario anampondea jamaa vibaya. Nashindwa kuwaelewa vijana wenzangu wa kitanzania, why hate while you need help more than anything?
Jibu linabaki moja tu CHUKI na WIVU.
 
Mkuu kama una ajira naomba nisaidie hizo emoji si chochote kwenye kutoa msaada:)
HEHEE HATA NINGEKUWA NAYO NISINGEKUPATIA MAANA HATA OFISINI UNAUONYESHA USINGEKUWA SERIOUS ....................... KM UNAWEZA SALES SEE ME INBOX INA ANAHITAJIKA MTU SERIOUS NA KAZI MAANA BOSS MWENYEWE ANAKIMBIA HATEMBEI KWA EMOJ HIZI HUTAWEZA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom