Ndugu wanaJF kwa yeyote atakayeguswa naomba anisaidie katika hili...

Ngoja nije inbox tuongee..
HEHEE HATA NINGEKUWA NAYO NISINGEKUPATIA MAANA HATA OFISINI UNAUONYESHA USINGEKUWA SERIOUS ....................... KM UNAWEZA SALES SEE ME INBOX INA ANAHITAJIKA MTU SERIOUS NA KAZI MAANA BOSS MWENYEWE ANAKIMBIA HATEMBEI KWA EMOJ HIZI HUTAWEZA
 
Habari wapendwa..:):)

Mimi ni Kijana wa Kiume, nina miaka 21.
Napatikana Mkoani kanda ya kati.
Elimu yangu ni Kidato cha Nne and Some certificates from variois College.

Nipo hapa mbele yenu kutafuta Kazi/shughuli ya aina yoyote itakayo nipatia kipato kwa halali.

Nina Certificate ya Utalii & hotel management.
Certificate of Basic Computer Application from VETA.

Natafuta kazi kama hizi na nyinginezo.
-Kuuza duka.
-Hotelini au sehem za Utalii.
-Ulimzi kwenye Mashirika.
-Kua mlinzi wa nyumba yako (Getini)
-Kuwa mtunza bustani.
-Kazi stationery.
-Library za kukodisha CD.
-Reception nimesoma mambo ya front office kwenye hotel.
-Reservation hotelini.
-Muhudumu bar au hotelini.
-Na kazi zingine zozote ambazo ni halali..

Ndugu zangu wana Jf naombeni sana msaada wenu tafadhari. Vijana wengi tuko kwenye hali mbaya hasa upande wangu. Nimeshindwa kuendelea na Kidato cha 5 mwaka juzi ajili ya matatizo kadhaa ya familia (Baba Aliacha kuniendeleza)

Wakuu kama mtu yoyote atakua hana ajira ila ana uwezo, basi naomba mnisaidie TZS 300000/= (Laki tatu) Nifanye biashara fulani hapa ketu kuleta kwenye majiji makubwa. Tutaandikishiana kisha nitakulipa na Riba.

Nawaombeni sana dugu zangu

Aksanteni.

"Mungu ni mwema sana, One day atanishindia Amen":):)
Kuna kazi ya home boy!
Kulishana kutunza kuku na nguruwe.

Badae itakuwepo kazi ya mashine kusaga hii itakuwa na malipo kwanjia ya kamisheni(kutegemea kazi/faida).

Utaishi, utakula,utakunywa, utaoga na kulala kwa boss wako.

Mshahara, ni 50000/=

SIFA ZAKO.

Uwe ni mtu unayetaka kusaidiwa.
Mchapa kazi, unayefanya kazi bila kusimamiwa.
Muadilifu wa kiwango cha kutotiliwa shaka.
Mcha Mungu sana, mpole na mvumilivu.
Asiwe na tamaa za kijinga.

Mawasiliano. Njoo pm haraka km utakuwa unahitaji.
 
Nime ku pm mkuu

Naona hutaki kazi ww nimekutumia link hapo ufungue hutaki endelea kuchagua kazi
Wala sijadharau mkuu.
Ninatumua freebasic kaka sina bando ya kufungua link ya website, nilikuomba unikopie niione. Siwez bagua kazi..
 
Pole sana mkuu ajira ni changamoto kwa dunia nzima lkn ni janga kwa nchi zinazoendelea kama tz....kuna mjumbe mmoja amekushauri uuze hiyo smartphone uliyotumia kutuma huu uzi ili uanze hata biashara ndogo ndogo naamini biashara zipo nyingi na mtaji sio lzm uwe mkubwa cha msingi ishi na watu vzr ,kauli njema bila kusahau kumuomba Mungu kwa kila jambo...
 
Kaka natumia Htc wildfire A3333 ya zamani sana ndogo nishajaribu kuiuza haikubaliwi.coz haina playstore, wasap, imevunhjika kioo mb za ndani 12
Pole sana mkuu ajira ni changamoto kwa dunia nzima lkn ni janga kwa nchi zinazoendelea kama tz....kuna mjumbe mmoja amekushauri uuze hiyo smartphone uliyotumia kutuma huu uzi ili uanze hata biashara ndogo ndogo naamini biashara zipo nyingi na mtaji sio lzm uwe mkubwa cha msingi ishi na watu vzr ,kauli njema bila kusahau kumuomba Mungu kwa kila jambo...
 
Nilicheki jana ulivyokua unamtusi ONTARIO , kwa kifupi amesaidia wengi wengine walikua hawana hata kazi akawapa kitengo pale mjengoni kwake!

Nakumbuka kuna thread ya interveiw yake kuna kijana alimuomba kazi kwenye ule ule uzi na muda huo huo jamaa akamuita kazini, kuna lawyer alimuomba kazi jamaa akamtafutia kitengo!! na kuna mwingine alipewa mafunzo ya forex free of charge baada ya kuanzisha uzi wa kumuomba msaada!!

Now you can see huyu uliyekua unamponda jana leo wenda angekupa kazi na mshahara mnono kabisa tena bila longo longo!!

Kilichonishangaza ni kwamba kumbe na wewe ni kama akina nanii alafu badala ya kujifunza kwa walio fanikiwa unatumia muda mwingi kuwa kashifu na kutamani wawe kama wewe!!

Ni vyema tuka badilika maana unayemtusi leo kesho ndiye anaweza kuwa msaada wako!!

Kila la heri mkuu!!
Acha undezi mshamba wewe. Kwaiyo mtu haruhusiwi Kuwa na mawazo tofauti na uyo Ontario? Wewe inabidi ukapimwe ssehemu ya haja kubwa kama utakua bado haujaharibiwa. Jamaa Kaja na shida so kama unaweza kumsaidia msaidie na kama hauwezi tuliza ilo bishwa andazi. Unadhani hapa duniani kila mtu ataishi kwa kutegemea kujipendekeza kwa uyo mume wenu? Cheap wasted sperm kabisa wewe!!. Be a man bwana mdogo, acha mihemko ya kijinga kijinga. Huwezi kushindwa kumsaidia mtu eti kisa alimpinga kwa hoja mtu unayemkubali wewe katika jukwaa jingine. Kichwa ulezi kabisa. Hata kama sio wewe au uyo Ontario bwana mdogo atafanikiwa tu maana sio kila mtu anaroho Mbaya kama zenu. Hapo mnasubiri achangiwe iyo laki 3 ili mje mummlaghai Pm kumfundisha Ku download pesa kwa forex mumlie na hako kaela mlivyo mashetani. Vichwa ulezi kabisa!
 
Umeongea point sana mkuu, salute.

Watu hawataki wapingwe wapongezwe kwa kila wanachotaka..

Bwaahaaaa haaaaa.... Huyu boya kaja hadi huku?

Huyu hapana kuna kitu behind the scene, narudia tena there's something, let's watch it out!
 
Msameheni Amani itawale.
Msimamo wangu mm hua sirambi mtu miguu wala kuabudu, labda Awe anadhamana ya Pumzi yngu..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom