Ndugu wana jf hasa walimu ukweli uko wapi hapa?

kadinali JM

JF-Expert Member
Oct 23, 2016
382
500
Habari za jioni, mko poa? Jumapili shwari? Bas fresh!! Swali langu ni hili, Mimi ni muuzaji wa Umeme kupitia selcom, sasa wanaonunua Umeme ni watu tofauti tofauti, swali liko kwenye usomaji wa unit, je kwa mfano unit 14.10, inasomwa unit kumi na nne point kumi au unit kumi na NNE point moja?kwa sababu watoto hasa hawa walio ndani ya mfumo wa shule, Mimi nawaambia ni kumi na NNE point moja kwa sababu ndio nilivyofundishwa miaka hiyo ya 1999 nikiwa primary school, je ndugu ndugu walimu siku hizi usomaji wa desimali umebadilika? Kwa sababu nashaangaa mtoto wa kwanzia darasa LA sita hadi form 2 aniambia eti hizi unit 2.90 anasoma eti mbili point tisini, seriously? Hadi hawa wanaosoma shule za st kufanyaje, tuwekane sawa jamani, karibuni
 
Mwendabure

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
2,141
2,000
Nakumbuka vyema darasa la 6 nikifundishwa hizo hesabu, tuliambiwa unatakiwa utamke namba ya mwanzo kwa ujumla wake halafu baada ya desimali unatamka namba moja moja. Mfano hapo 14.10 ni kumi na nne nukta moja sifuri
Upo sahihi Mkuu!
 
kadinali JM

JF-Expert Member
Oct 23, 2016
382
500
Asanteni kwa michango yenu, sasa wakinitajia ndivyo sivyo nakuwa nawafinya, ndugu walimu waelekezeni vizuri hawa wadogo zetu, wasije wakatia aibu internationally, Mimi huwa nawaelekeza lakini hawaniamini, wanamwamini zaidi mwalimu anaewafundisha
 
Kingeke Mavoya

JF-Expert Member
Jan 27, 2017
621
1,000
Habari za jioni, mko poa? Jumapili shwari? Bas fresh!! Swali langu ni hili, Mimi ni muuzaji wa Umeme kupitia selcom, sasa wanaonunua Umeme ni watu tofauti tofauti, swali liko kwenye usomaji wa unit, je kwa mfano unit 14.10, inasomwa unit kumi na nne point kumi au unit kumi na NNE point moja?kwa sababu watoto hasa hawa walio ndani ya mfumo wa shule, Mimi nawaambia ni kumi na NNE point moja kwa sababu ndio nilivyofundishwa miaka hiyo ya 1999 nikiwa primary school, je ndugu ndugu walimu siku hizi usomaji wa desimali umebadilika? Kwa sababu nashaangaa mtoto wa kwanzia darasa LA sita hadi form 2 aniambia eti hizi unit 2.90 anasoma eti mbili point tisini, seriously? Hadi hawa wanaosoma shule za st kufanyaje, tuwekane sawa jamani, karibuni
Mimi nilijua 14.10, inasomwa kumi na nne point moja sikujua kua na hyo sifuri inasomwa ila pia nimeskia mwalimu mmoja kasema ni kumi na nne nukta moja sifuri ila pia nilikua naomba kufahamu tofauti kati ya point na nukuta
 
Sasa wewe finya mtoto wawatu aende nyumbani na mayowe ndo utatuletea mrejesho vizuri
 
Evelyn Salt

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
48,822
2,000
Mimi nilijua 14.10, inasomwa kumi na nne point moja sikujua kua na hyo sifuri inasomwa ila pia nimeskia mwalimu mmoja kasema ni kumi na nne nukta moja sifuri ila pia nilikua naomba kufahamu tofauti kati ya point na nukuta
Nukta ni kiswahili na point ni ki English
 
Translator

JF-Expert Member
May 19, 2017
285
500
siku zote nukta husomwa kwa namba mojamoja ---------(1.23 = moja nukta mbili tatu); (2.401 = mbili nukta nne sifuri moja). Kukiwa na sifuri mwishoni, ukiitaja ni sawa, ukiiacha ni sawa; mradi tu utaje namba mojamoja.
 
Aug 22, 2015
34
95
Habari za jioni, mko poa? Jumapili shwari? Bas fresh!! Swali langu ni hili, Mimi ni muuzaji wa Umeme kupitia selcom, sasa wanaonunua Umeme ni watu tofauti tofauti, swali liko kwenye usomaji wa unit, je kwa mfano unit 14.10, inasomwa unit kumi na nne point kumi au unit kumi na NNE point moja?kwa sababu watoto hasa hawa walio ndani ya mfumo wa shule, Mimi nawaambia ni kumi na NNE point moja kwa sababu ndio nilivyofundishwa miaka hiyo ya 1999 nikiwa primary school, je ndugu ndugu walimu siku hizi usomaji wa desimali umebadilika? Kwa sababu nashaangaa mtoto wa kwanzia darasa LA sita hadi form 2 aniambia eti hizi unit 2.90 anasoma eti mbili point tisini, seriously? Hadi hawa wanaosoma shule za st kufanyaje, tuwekane sawa jamani, karibuni
Usomaji wa Luku na Mahesabu wapi na wapi ndugu yangu!?? be serious bwana.Atamkaye full numerals yupo correct ktk umeme if in classroom's itambidi asome as u demand in digit's subject.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom