Ndugu W. J. Malecela Habari za kusikitisha walizo andika Mawio ni za Ridhiwani tu ?

Sonara

JF-Expert Member
Oct 2, 2008
726
68
Ndugu W.J.Malecela.

kilicho andikwa ndani ya gazeti hatari kwa jamii (Mawio) sio tu habari za Ridhiwani ,lakini zilizo kubwa zaidi na mbaya ni zile za kuchochea mapigano na kuendeleza kutoelewana kwa wana siasa wa Zanzibar ,ukiangalia na kutafakari utaona kuna viongozi wenye Ushawishi hapa bara wanatumia mwanya wa Zanzibar ili yatokee mapigano ,kwani kinachofanywa na gazeti hilo au viongozi hao wanaowapa nakala za kuandika juu ya zanzibar ni kuzifanya akili za watu pamoja na viongozi wao wa pande zote mbili kuzidi kuvutana na hilo linafanywa kwa makusudi wala sio kwa bahati mbaya,Rais magufuli na viongozi wa CCM bara wamejitenga kiasi kama hili wao haliwahusu ,kinachosubiriwa ni ule mwanya tu wa kuwagombanisha zaidi na kupelekea kuwana ,Uongozi wa Rais magufuli unabariki wayafanyayo CCM Zanzibar 100% ijapokuwa Bara wanajaribu kujiweka mbali kuhadaa ulimwengu , tuseme CCM Zanzibar kwa nguvu zao na Ubabe wao ambao unatokana na msada mkubwa kutoka kwa CCM bara waseme uchaguzi wataufanya kwa vyovyote vile ikiwa ulimwengu utapenda au haupendi, ikiwa wapizani watataka au la, katika kipindi hicho utao jinsi wanajeshi na silaha zitakavyo zidi kumiminwa Zanzibar na kuwahujumu watu wasiokuwa na hatia ,hayo yote yanaeleweka ubabe wa CCM Zanzibar ni hizi nguvu za kijeshi wanazopewa na Rais wa Tanzania za kuwahujumu waaopingana nao kimawazo.
 
Nyamaza ww hakuna moto unazimwa Na petroli
 
Ukawa ukaw ukawa ukawa ukawa
 
magufuli amejinasibu anataka haki na sheria zitamalaki tanzania lakini yuko kimya kinachoendelea zanzibar kana kwamba haoni,ikumbukwe kuwa marekani imezuia misaada yake kwa tanzania kwasababu ya ulafi wa madaraka wa ccm,ikumbukwe tanzania ni nchi maskini hawezi kujiendesha kwa kodi za makontena tusidanganyane.mkuu wa nchi kama ulivyofanya TRA fanya kwa ccm zanzibar
 
Hivi kwa akili zako lile bwabwa lililopata div zero mtihani wa form four litaelewa kitu kuhusu Zanzibar?? Utasubiri sana, Le Mutuz mletee stori za kipimbi na ukuda ndio saizi yake
 
Le mutuz anatunzwa na wanaume wenzie mjini hana namna zaidi kufanya anayofanya. Sasa hivi ameanza majungu kwa Kigwangwala sababu amepeperusha hela ya Dr mwaka. Muurumieni umri umeshaenda habari yake imeshakwisha anatafuta senti za kula.
 
Back
Top Bottom