Ndugu hawa wako wapi?

Ndugu hawa wako wapi?

Sendeka anasoma..kachoka kusemwa eti ni..kila...
 
...Tuendeleze orodha: Assah Mbene, Muhingo Rweyimamu, Salva Rwey-Imamu, Novel a tour us Makunga, Elizabeth Chalamila, Gabri Ndyerumaki, Felix Sunzu, Imaa Okwii, Omar Mapuri, J J Okocha....
Chaliiiiiiiiiiiiiiii
 
WanaBodi,

Napenda kujua habari za wanasiasa wafuatao (yaani kwa sasa wako wapi na wanafanya nini?). Kwa nia nzuri kabisa kwa sababu wana jamii tumewamisi sana.

1. Isimail Aden Rage
2. Charles Keenja
3. Iddi Azan
4. Rostam Aziz
6. Abdul Rahman Kinana
7. Ritta Mlaki
8. Juma Othman Kapuya
9. Omar Ramadhan Mapuri
10. Augustino Lyatonga
11. Benedicto Mutungirehi
12. Christopher Sendeka
13. Seleman Kumchaya

Na hawa pia wako wapi? Natanguliza samahani kama wengine wametutoka

Daniel Yona
Njelu Kasaka
Mussa Nkhangaa
Abdallah Kigoda
Bakari Mbonde
 
Sophia Simba
Hawa Gharsia
Juma Mwapachu
Kalasinga wa IPTL
Ole Medeye
Shimbo. ...
 
Hahahaaa na yule alopigwa chini ukuu wa mkoa kule shinyanga
 
WanaBodi,

Napenda kujua habari za wanasiasa wafuatao (yaani kwa sasa wako wapi na wanafanya nini?). Kwa nia nzuri kabisa kwa sababu wana jamii tumewamisi sana.

1. Isimail Aden Rage
2. Charles Keenja
3. Iddi Azan
4. Rostam Aziz
6. Abdul Rahman Kinana
7. Ritta Mlaki
8. Juma Othman Kapuya
9. Omar Ramadhan Mapuri
10. Augustino Lyatonga
11. Benedicto Mutungirehi
12. Christopher Sendeka
13. Seleman Kumchaya
Aden Rage alipigwa laana na Mwenyezi Mungu baada ya kushiriki kumshambulia kada wa cdm kule dodoma , yule jamaa ilikuwa auwawe lakini miujiza ya Mungu ilimuokoa
 
Aden Rage alipigwa laana na Mwenyezi Mungu baada ya kushiriki kumshambulia kada wa cdm kule dodoma , yule jamaa ilikuwa auwawe lakini miujiza ya Mungu ilimuokoa
Watu wenye asili ya rage huwa hawana huruma hata kidogo
 
WanaBodi,

Napenda kujua habari za wanasiasa wafuatao (yaani kwa sasa wako wapi na wanafanya nini?). Kwa nia nzuri kabisa kwa sababu wana jamii tumewamisi sana.

1. Isimail Aden Rage
2. Charles Keenja
3. Iddi Azan
4. Rostam Aziz
6. Abdul Rahman Kinana
7. Ritta Mlaki
8. Juma Othman Kapuya
9. Omar Ramadhan Mapuri
10. Augustino Lyatonga
11. Benedicto Mutungirehi
12. Christopher Sendeka
13. Seleman Kumchaya
acha waisome namba, wakati wanaimba walijua wanawaimbia Wasomali
 
Na hawa pia wako wapi? Natanguliza samahani kama wengine wametutoka

Daniel Yona
Njelu Kasaka
Mussa Nkhangaa
Abdallah Kigoda
Bakari Mbonde
Upo Dunia gani?huyu mzee wawatu(Kigoda) ni marehemu...hapa sasa ndio nimeamini jf inawakurupukaji.
 
Back
Top Bottom