hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,622
- 63,139
de locci huu sasa ndio balaa kabisa ..hahaa jamaa yako kachambuliwa kama karanga humu .. yaani watu wana file lake tangu akiwa st.Mary huko kisha akaenda kisha akafukuzwa kanisani kwa Rwakatale kwa tuhuma zakuliwa kisamvu".. akaenda praise power napo akaharibu kwa tuhuma hizo hizo za kutatuliwa nyuzi za marinda ".... napo akafukuzwa ndio akachukuliwa na CMG .. inshort jamaa anatia kinyaa