Na sisi ambao ni karma observers tutawaletea karmic observations zitakazo tokea wakati wao na baada yao kwa sababu malipo ya karma ni hapa hapa duniani, kila mtu analipwa sawa sawa na matendo yake.Ndugai na magufuli hatutawasahau kamwe katika historia ya taifa letu.
Hatutasema neno mtajipima wenyewe Mambo mliyoyafanyia taifa hili katika kipindi Cha uongozi wenu.
Legacy mnayoiacha kizazi chetu kitawakumbuka daima milele.
tunawaombea afya njema ili muione Tanzania ijayo baada yenu.
Mungu ibariki Africa.
Mungu ibariki Tanzania.
Umenikumbasha wauza bangili na milembeNdugai na magufuli hatutawasahau kamwe katika historia ya taifa letu.
Hatutasema neno mtajipima wenyewe Mambo mliyoyafanyia taifa hili katika kipindi Cha uongozi wenu.
Legacy mnayoiacha kizazi chetu kitawakumbuka daima milele.
Mjipime mjitafakari wenyewe Kama mnastahili taji la enzi au taji la miba.
Tunamshukuru Mungu kwa yote pengine aliwaleta makusudi ili vizazi vijavyo vitambue umuhimu wa katiba upendo uhai wa watu na ustawi wa maisha yao.
Katika kipindi Cha uongozi wa mihimili hii miwili tumeona mengi na mioyo yetu imehifadhi mengi juu yenu tutaendelea kumuomba Mungu kwa unyenyekevu ili nyie wawili mtuvumilie nasisi milioni 60 tuwavumilie.
Tunapoyakabili majaribu ya dunia yanayoletwa na siasa za Aina yenu mlizozileta Tanzania tunawaombea afya njema ili muione Tanzania ijayo baada yenu.
Mungu ibariki Africa.
Mungu ibariki Tanzania.
Ndugai na magufuli hatutawasahau kamwe katika historia ya taifa letu.