The Khoisan
Platinum Member
- Jun 5, 2007
- 18,206
- 17,359
Sasa ni rasmi kuwa Ndugai, Mpango na Majaliwa wote walipigwa boot. Swali langu kwa nafadi zao ilikuwaje hawakuliona hili mpaka wamexifiwa na bwana mfogo tu Polepole. Su walilewa madaraka wakadhani wamefika?
Hii timing ya Polepole imeonyesha kijana ana akili kuliko hawa Wazee. In fact watu wa JPM lazima wataenguliwa. Akina Makonda wanaweza kusurvive kwa sababu tayari kondoo wa kafara Gwajima na Mpina wameshatolewa.