Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,711
- 218,260
Achukuliwe kama tunavyoyachukulia Malaria tu .ADUI WA KITAIFA SI NI MHAINI AU MUASI??!!!
Mhh,hili la TBC, umenichekesha katikati ya huzuni.Mtu anayekwamisha maendeleo ya nchi kwa kuzuia mawazo mbadala bungeni awekwe kwenye kundi la maadui wa nchi hii .
Ndugai amebainika kuchukua kanuni za nyumbani kwake na kuwafungia wabunge wawili wa Chadema , Haikubaliki .
Kamati kuu ya Chadema iliwahi kuipa adhabu ndogo tu TBC 1 , ilihamasishwa wananchi kote nchini wasiitazame TV hiyo , matokeo yake mpaka leo Tbc imekosa watazamaji , kiasi ambacho hata ukipeleka Tangazo la kifo unaweza kukuta unamzika Marehemu peke yako , kwa vile hakuna atakayepata taarifa maana wananchi hawatazami TBC .
Ni vema KAMATI KUU YA CHADEMA mkalichukua hili ili kunusuru nchi .
True ! Na kuna taarifa kwamba waliosuasua kutii maagizo ya kinyama ya Ndugai wameondolewa .huyu mtu aliwachochea walinzi wamfanyie fujo mnyika,ana jazba na hafai kuwa kwenye kiti
Na wewe utangazwe nani ? mchochezi wa kimataifa..Mtu anayekwamisha maendeleo ya nchi kwa kuzuia mawazo mbadala bungeni awekwe kwenye kundi la maadui wa nchi hii .
Ndugai amebainika kuchukua kanuni za nyumbani kwake na kuwafungia wabunge wawili wa Chadema , Haikubaliki .
Kamati kuu ya Chadema iliwahi kuipa adhabu ndogo tu TBC 1 , ilihamasishwa wananchi kote nchini wasiitazame TV hiyo , matokeo yake mpaka leo Tbc imekosa watazamaji , kiasi ambacho hata ukipeleka Tangazo la kifo unaweza kukuta unamzika Marehemu peke yako , kwa vile hakuna atakayepata taarifa maana wananchi hawatazami TBC .
Ni vema KAMATI KUU YA CHADEMA mkalichukua hili ili kunusuru nchi .
Tena sio adui tuu ni adui namba moja wa demokrasiaMtu anayekwamisha maendeleo ya nchi kwa kuzuia mawazo mbadala bungeni awekwe kwenye kundi la maadui wa nchi hii .
Ndugai amebainika kuchukua kanuni za nyumbani kwake na kuwafungia wabunge wawili wa Chadema , Haikubaliki .
Kamati kuu ya Chadema iliwahi kuipa adhabu ndogo tu TBC 1 , ilihamasishwa wananchi kote nchini wasiitazame TV hiyo , matokeo yake mpaka leo Tbc imekosa watazamaji , kiasi ambacho hata ukipeleka Tangazo la kifo unaweza kukuta unamzika Marehemu peke yako , kwa vile hakuna atakayepata taarifa maana wananchi hawatazami TBC .
Ni vema KAMATI KUU YA CHADEMA mkalichukua hili ili kunusuru nchi .
Mimi ni mzalendo mkuu , muulize Ndugai ametumia kanuni ipi ?Na wewe utangazwe nani ? mchochezi wa kimataifa..
Mtu anayekwamisha maendeleo ya nchi kwa kuzuia mawazo mbadala bungeni awekwe kwenye kundi la maadui wa nchi hii .
Ndugai amebainika kuchukua kanuni za nyumbani kwake na kuwafungia wabunge wawili wa Chadema , Haikubaliki .
Kamati kuu ya Chadema iliwahi kuipa adhabu ndogo tu TBC 1 , ilihamasishwa wananchi kote nchini wasiitazame TV hiyo , matokeo yake mpaka leo Tbc imekosa watazamaji , kiasi ambacho hata ukipeleka Tangazo la kifo unaweza kukuta unamzika Marehemu peke yako , kwa vile hakuna atakayepata taarifa maana wananchi hawatazami TBC .
Ni vema KAMATI KUU YA CHADEMA mkalichukua hili ili kunusuru nchi .
Usipuuzie mkuu , hawa ndio policy makers , sasa wanaweza hata kupiga marufuku hicho kilimo chako cha mchicha , ni lazima uwafuatilie .Me siwezi kupigia chapuo wabunge wa kambi yoyote, tena kwa mawazo yangu bora bunge lote lifilie mbali.
Ni kama nawaona wanacheza upatu tu, wanakula kodi zetu kwa asilimia kubwa sana na eti baada ya miaka 5 wanajistaafisha na kujipa mafao lukuki bila hata chembe ya aibu.
Wakati watumishi kada nyingine hakuna fao la kujitoa. Hawana msaada wowote, si kijani wala kaki wote ni hopeless kabisa.
Eti wanawakilisha wanachi, kwa uwiano gani uliopo kati yao na sisi makapuku.
Me sipendi unafiki kama mleta post, tujiangaikieni tu wenyewe hatuna wawakilishi ila wanajiwakilisha wao na familia zao.
Hoja yako ni muflisi .Haijawahi kutokea mtu individual akatangazwa kuwa adui wa Taifa, mimi ninachokijua miongoni mwa maadui wa Taifa ni ufisadi ambao sasa hivi Chadema wanaukumbatia na kuutetea kama Sera ya Chama. Yaani kwa slogan hii " MAFISADI KWANZA, UTAIFA BAADAE".
Duh! Eeee bhana eeeee !!!!Kwanza nafikiri Mh Yule apimwe afya ya akili.
Haiwezekani kuwafukuza wahudumu wa Bunge eti hawakutumia excessive force kumtoa mbunge
Lakini kama haitoshi amewatoa wabunge bila kusema kosa ni lipi na linaadhibiwa kwa kifungu kipi cha kanuni ya adhabu.
na kujiapiza
Pia chanzo cha commotions zote hizi ni yeye mwenyewe kuomba amwajibishe aliyemtukana Mnyika.
Wazo langu: Mh Yule apimwe afya ya akili maana kuna matukio mengi yaonesha kuna wakati anapata tatizo la akili kumbuka wakati wa uchaguzi kuna mgombea alipigwa bakora mpaka akazimia