Ndugai akiona chamoto jimboni kwake

Ndugai akiona chamoto jimboni kwake

Ana matatizo huyo ndugai,ajitambui tu,serikali ijayo hana chake ata kama atashida ubunge huko kwao,ataishia ubunge tu
 
Nadhani meseji imefika kwake, wana kongwa kuchagua maccm ni jangwa kwa köngwa yenyewe na taifa kiujumla!
 
Nimeipenda sana hii habari,maana jamaa anajiona yeye ndiye mfalme wa jimbo hilo,sasa habari ndiyo hiyo.
 
Mkataeni kabisa huyu ndung'ai hana lolote zaidi ya mitunguli anayotegemea...kwa taarifa yake nguvu ya umma ni zaidi ya tunguli.....
 
Back
Top Bottom