Ndugai akiona chamoto jimboni kwake

Ndugai akiona chamoto jimboni kwake

Labda alikuwa haijui M4C,nadhani sasa ameshaijua,kama atakuwa na akili atatulia lakini kama atakuwa mjinga atarudi bungeni na gubu lake halafu aanze kuwashushia wabunge wetu wa CDM,akifanya hivyo kabla ya bunge halijaisha timu mahusui itaondoka hapa DAR weekend moja na tutawaomba wabunge twende Kongwa tukafunike kabisa na mchezo utaishia hapo.
 
Nijuavyo mimi Job Ndugai siyo Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Mungano wa Tanzania, bali ni mshehereshaji wa Bunge.
 
Katika harakati za kuzima moto uliowashwa jimboni Kongwa na wabunge wa CHADEMA ambao naibu spika huyo aliwafukuza bungeni (Sugu, Msigwa, Wenje etc), Jobu Ndugai amekutana na zomea zomea karibu kila sehemu aliyokwenda kuhutubia. Kwamasikitiko N.Spika huyo alisikika akiwaambia wananchi "Jamani mbona muda wote tulikuwa tukiishi vizuri, iweje leo mkubali kushawishiwa na watu wa kupita?" (sio nukuu rasmi). Ndugai alionekana kuchanganyikiwa kabisa hadi baadhi ya wazee walipokuja kumtuliza na kumwambia ajirekebishe alipokosea ili kurudisha imani kwa wanakongwa. Kuna kijiji kashindwa kabisa kuhutubia baada ya wananchi kumkataa kabisa 100%. For sure Kongwa imebadilika sana tangu wabunge waliofukuzwa bungeni na Ndugai walipokuja hapa na kutangaza kuwa jimbo hili halina mbunge.

My take: Nimefurahishwa sana na jinsi CHADEMA wanavyojua kuyatumia makosa ya CCM.
tatizo la viongozi wetu walioko madarakani wanadhani wao wana akili sana kuliko wanaowaongoza,hivyo wakikosolewa wanakimbilia kuwalaumu wapinzani
 
Uyo jamaa wamkatae kabisa mana huwa anajiona kama mungu mtu inabidi 2015 asirudi mjengoni ndio afaham kama cheo ni dhamana

Afu kichawi sana kile kijamaa, huwa sivipendi vijicho vyake vile...
 
look at your ID ' MAEMBE MABICHI ' i think is real your id represent your brain.

Mara nyingi huwa tunapenda fair play. Ukiweka post au nukuu fulani ni uungwana kuweka na Source ya hiyo information yako. Kinyume na hapo inakuwa..............................
 
Afu kichawi sana kile kijamaa, huwa sivipendi vijicho vyake vile...
Hawa wabunge wa chadema hakuna hata mmoja aliyefanikiwa jimboni kwake wataweza ya wengine thubutu.
 
Yaani makosa yanayofanywa na viongozi wa CCM ni turufu kwa CHADEMA
 
Hawa wabunge wa chadema hakuna hata mmoja aliyefanikiwa jimboni kwake wataweza ya wengine thubutu.

Wabunge wa Chadema kwani ndo watoa fedha za maendeleo ya jimbo? Kazi ya Mbunge ni kuwasemea wapiga kura wake. HUku kwetu Nyamagana (Mwanza) pamoja na Ilemela (Mwanza) mambo swadakta; zile barabara zilizokuwa zimesaaulika kipindi cha kupokezana vijiti wabunge wa CCM sasa zote zimefanyiwa matengenezo.
 
ETI naomba ufafanuzi,Viongoz wa Tanzania:
Wanaweka pesa Uswis,
Wanatibiwa India,
Wanajenga London,
Wanawekeza USA au S.Africa,
Shopping Dubai,
Likizo na matanuz Paris na kuungama wanaenda Israel au Saudi Arabia lakini wakifa wanazikwa Tanzania,hivi Tanzania ni makaburini au? Unajua sielewielewi, vip hapo?
MANI Mohamedi Mtoi saudari zumbemkuu Aine Smile zumbemkuu
 
Last edited by a moderator:
Katika harakati za kuzima moto uliowashwa jimboni Kongwa na wabunge wa CHADEMA ambao naibu spika huyo aliwafukuza bungeni (Sugu, Msigwa, Wenje etc), Jobu Ndugai amekutana na zomea zomea karibu kila sehemu aliyokwenda kuhutubia. Kwamasikitiko N.Spika huyo alisikika akiwaambia wananchi "Jamani mbona muda wote tulikuwa tukiishi vizuri, iweje leo mkubali kushawishiwa na watu wa kupita?" (sio nukuu rasmi). Ndugai alionekana kuchanganyikiwa kabisa hadi baadhi ya wazee walipokuja kumtuliza na kumwambia ajirekebishe alipokosea ili kurudisha imani kwa wanakongwa. Kuna kijiji kashindwa kabisa kuhutubia baada ya wananchi kumkataa kabisa 100%. For sure Kongwa imebadilika sana tangu wabunge waliofukuzwa bungeni na Ndugai walipokuja hapa na kutangaza kuwa jimbo hili halina mbunge.

My take: Nimefurahishwa sana na jinsi CHADEMA wanavyojua kuyatumia makosa ya CCM.

Safi sana wangempiga mawe

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Hata yeye mwenyewe JN anajua kuwa 2015 kwake itakuwa ngumu sana kuchaguliwa.
 
Wagogo nao kunasiku watakombolewa toka mikononi mwa wakoloni weusi ccm
 
Back
Top Bottom