Katika harakati za kuzima moto uliowashwa jimboni Kongwa na wabunge wa CHADEMA ambao naibu spika huyo aliwafukuza bungeni (Sugu, Msigwa, Wenje etc), Jobu Ndugai amekutana na zomea zomea karibu kila sehemu aliyokwenda kuhutubia. Kwamasikitiko N.Spika huyo alisikika akiwaambia wananchi "Jamani mbona muda wote tulikuwa tukiishi vizuri, iweje leo mkubali kushawishiwa na watu wa kupita?" (sio nukuu rasmi). Ndugai alionekana kuchanganyikiwa kabisa hadi baadhi ya wazee walipokuja kumtuliza na kumwambia ajirekebishe alipokosea ili kurudisha imani kwa wanakongwa. Kuna kijiji kashindwa kabisa kuhutubia baada ya wananchi kumkataa kabisa 100%. For sure Kongwa imebadilika sana tangu wabunge waliofukuzwa bungeni na Ndugai walipokuja hapa na kutangaza kuwa jimbo hili halina mbunge.
My take: Nimefurahishwa sana na jinsi CHADEMA wanavyojua kuyatumia makosa ya CCM.
Safi sana wananchi wa Kongwa kwa msimamo wenu.
Mwendo huo huo mpaka CCM wakimbie na kusalimu amri.
Peoples Poweeeeeer!!!!!
Tangu Lissu amburuze ktk kipima joto cha ITV jamaa amekuwa na hasira mara na chadema kuliko viongozi wote wanaoongoza vikao vya Bunge.
Katika harakati za kuzima moto uliowashwa jimboni Kongwa na wabunge wa CHADEMA ambao naibu spika huyo aliwafukuza bungeni (Sugu, Msigwa, Wenje etc), Jobu Ndugai amekutana na zomea zomea karibu kila sehemu aliyokwenda kuhutubia. Kwamasikitiko N.Spika huyo alisikika akiwaambia wananchi "Jamani mbona muda wote tulikuwa tukiishi vizuri, iweje leo mkubali kushawishiwa na watu wa kupita?" (sio nukuu rasmi). Ndugai alionekana kuchanganyikiwa kabisa hadi baadhi ya wazee walipokuja kumtuliza na kumwambia ajirekebishe alipokosea ili kurudisha imani kwa wanakongwa. Kuna kijiji kashindwa kabisa kuhutubia baada ya wananchi kumkataa kabisa 100%. For sure Kongwa imebadilika sana tangu wabunge waliofukuzwa bungeni na Ndugai walipokuja hapa na kutangaza kuwa jimbo hili halina mbunge.
My take: Nimefurahishwa sana na jinsi CHADEMA wanavyojua kuyatumia makosa ya CCM.
Picha tafadhali.

katika harakati za kuzima moto uliowashwa jimboni kongwa na wabunge wa chadema ambao naibu spika huyo aliwafukuza bungeni (sugu, msigwa, wenje etc), jobu ndugai amekutana na zomea zomea karibu kila sehemu aliyokwenda kuhutubia. Kwamasikitiko n.spika huyo alisikika akiwaambia wananchi "jamani mbona muda wote tulikuwa tukiishi vizuri, iweje leo mkubali kushawishiwa na watu wa kupita?" (sio nukuu rasmi). Ndugai alionekana kuchanganyikiwa kabisa hadi baadhi ya wazee walipokuja kumtuliza na kumwambia ajirekebishe alipokosea ili kurudisha imani kwa wanakongwa. kuna kijiji kashindwa kabisa kuhutubia baada ya wananchi kumkataa kabisa 100%. For sure kongwa imebadilika sana tangu wabunge waliofukuzwa bungeni na ndugai walipokuja hapa na kutangaza kuwa jimbo hili halina mbunge.
my take: Nimefurahishwa sana na jinsi chadema wanavyojua kuyatumia makosa ya ccm.
cdm wanaset agenda.:
-wakibariki kinakwenda,wakilaani kinalaaniwa, wakikiambia utahangaika ktk maisha yako yote ya kitaifa na inakuwa hivyo..how great is the lord.
Walimpa mkapa.kawa kiporo, wakampa lowasa hasafishiki, wakampa nape na mwigulu n aimekuwa, sendeka akawageuka wakampa sasa hivi anatikisa ------ tuu bungeni na 6 wake, wakaipa cuf hata kwao hawakubalikai tena.
Sasa ni ndugai , makinda, nkamia,na msoga.